Majirani wa kike sometimes hawasomeki.

Majirani wa kike sometimes hawasomeki.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,195
Reaction score
14,370
Unakuta jirani wa kike sio mzuri sana wa kawaida tu si unajua kuna siku za kuzidiwa unajaribu kumuapproach jiran anakuwa mkali anakujibu hovyo kibingwa unakubali yaishe tu maisha yaendelee.

Siku umepata pisi yenyewe imekuja geto jirani anaanza kununa akisalimiwa anakaa kimya sasa jirani wa design hii unashindwa kumuelewa anataka nini nimekutongoza umenikataa nimepata demu unacatch sasa ulitaka nikae kinyonge bila kuosha rungu acheni hizo.
 
Ok sawa tushajua nawew una uwezo wa kuchakata papuchi..
 
Jirani yako alijiona Pipi, muache sasa ajilambe.

Be a Man, next time usilale na mwanamke ambae ni Jirani yako, Mfanyakazi mwenzako ofisini, Mfanyakazi wako.

Achana na hao wanawake kwa ustawi wa Afya yako ya Akili na Mwili.
 
Unakuta jirani wa kike sio mzuri sana wa kawaida tu si unajua kuna siku za kuzidiwa unajaribu kumuapproach jiran anakuwa mkali anakujibu hovyo kibingwa unakubali yaishe tu maisha yaendelee.

Siku umepata pisi yenyewe imekuja geto jirani anaanza kununa akisalimiwa anakaa kimya sasa jirani wa design hii unashindwa kumuelewa anataka nini nimekutongoza umenikataa nimepata demu unacatch sasa ulitaka nikae kinyonge bila kuosha rungu acheni hizo.
Hao hawakutaki ila wanakuweka kwenye shortlist siku wakizidiwa halafu hawana option, wakutafute.

Sasa ukileta pisi kali unakuwa umeivuruga shortlist yao 😂😂😂
 
Unakuta jirani wa kike sio mzuri sana wa kawaida tu si unajua kuna siku za kuzidiwa unajaribu kumuapproach jiran anakuwa mkali anakujibu hovyo kibingwa unakubali yaishe tu maisha yaendelee.

Siku umepata pisi yenyewe imekuja geto jirani anaanza kununa akisalimiwa anakaa kimya sasa jirani wa design hii unashindwa kumuelewa anataka nini nimekutongoza umenikataa nimepata demu unacatch sasa ulitaka nikae kinyonge bila kuosha rungu acheni hizo.
Mu approach tena , utanishukuru badae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom