Nguvu za kiume

Nguvu za kiume

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,952
Reaction score
14,773
Yap! Nguvu za kiume ambazo kwa sasa ni gumzo.

Zamani tulikuwa na utaratibu kila msimu wa mwaka majira fulani tunakunywa dawa za miti shamba za kusafisha tumbo.

Naam...kusafisha tumbo manake magonjwa 98% chanjo ni tumboni.

KUna dawa fulani ya miti inachemshwa inatoa rangi nyekundu kama mti wa mtarangela unakunywa mapema usubuhi kabla ya kula chochote,

Kwa Iringa kulikuwa na dawa fulani ya ungaunga inatoka kwenye miti fulani unachanganya kwenye uji chai au maji ya moto,,kama sikosei ilikuwa inaitwa'' ndyamgongo''

Dawa nyingine ilikuwa mafuta ya mkia wa kondoo unachanganya na asali ya nyuki wadogo,

Kitu kingine kilichotusaidia mpaka sasa bado ni vijogoo ni mboga za asili kama mkalifya mnafu na matunda pori.

Madonga ni matunda pori ya asili hayajapigwa dawa wala kutiwa mbolea wala sumu ya aina yeyote pia mikusu, mikalifya, mifudu, misasati mpaka ngoweda kwa kule kilimanjaro.

USHAURI WAWEZA UFANYIA KAZI AU WAWEZA UPOTEZEA VILEVILE,,,AU SIO VP BWAN'
 
Wanaume tunateseka sana kwenye vitu vya kipumbavu
bro. Kulinda urijali wako sio kitu cha kipumbavu.

Detox ni muhimu.
Kinga ni bora na rahisi kuliko tiba.

Mwezi wa 6 kuna mdogo wangu ana miaka 32 amekutwa na kisukari.
Ndan ya miezi 3 amepungua kilo 15.
Kisukari kama unavyokijua. Na shekeri inawezekana iko rehani. Haisimami.

Kwahiyo kama tukipata wasaa wa kunywa dawa kutoa ma-cholesterol na masumu mengne tunywe tu.
 
Back
Top Bottom