Mwenye Nyumba Mkorofi na Majungu Yake

Mwenye Nyumba Mkorofi na Majungu Yake

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
12,958
Reaction score
25,547
Baada ya kumlipa pesa yake ya miezi 6,pamoja na hela za taka na maji..

Naona amenikasirikia sana,

Huwa anajaribu kujenga mazoea na mm ila namkwepa.

Kajaribu mara kibao sana nimkope hela, ila na kataa maana najua ni hatanirudishia na tutasumbuana tu.

Sasa majuzi nimekuja na mtoto mkali kanipikia diko zuri, na nkamtafuna.. Asubuhi anakuja kunigongea na majungu sijui demu anapaswa alipie..

Nikamwangalia nakupatwa hasira..

Demu kaja kulala siku mbili na kuna wapangaji watu wazima wanaishi na familia zao, nimemjibu kiustaarabu ila next time nitamuwakia..

Kuna wazee wanatabu sana, na issue mbaya ni wako nyumba jirani, so wanakaa kuchora wapangaji na mazoea yasiyo na mbele wa nyuma.

Watoto wake hawana heshima kabisa,

Vinaongea matusi hadharani, vinadaharau Ukiniuliza kitu vinajifanya havikusikii..

Wengine wakiingiza mademu anataka aanze kujua, anastori za kitoto, anapenda kuongelea vitu vya ajabu ajabu tu.

Yaani mke wake ndo anajishugulisha hata kumzidi yeye..
 
Nani aliye kudanganya mafanikio ni kujenga? Unajua kujenga nako unaweza kukurudisha nyuma?
“Ni kweli kujenga kuna changamoto, lakini faida zake ni kubwa. Unajenga mali yako, unapata sehemu salama ya kuishi, thamani ya mali inaongezeka kadri muda unavyokwenda, na unaweza hata kupata kipato kwa kupangisha. Kila hatua ya kujenga ni uwekezaji wa maisha yako ya baadaye. 🏠💪”
 
“Ni kweli kujenga kuna changamoto, lakini faida zake ni kubwa. Unajenga mali yako, unapata sehemu salama ya kuishi, thamani ya mali inaongezeka kadri muda unavyokwenda, na unaweza hata kupata kipato kwa kupangisha. Kila hatua ya kujenga ni uwekezaji wa maisha yako ya baadaye. 🏠💪”
I don't see myself doing that in the now or the near future
 
Back
Top Bottom