Wajuzi wa mambo, hasa wachumi naomba kuuliza kwanini benki zetu zinatoza riba kubwa(19%-22%), Kwa wateja wanaochukua mikopo,Je kuna sababu zozote za kiuchumi zinazopelekea riba kuwa kubwa kiasi...
hili jambo naliamini kwa 100%. Nachukulia mfano wa kisiwa cha Mayote. Wakati Comoro inapata uhuru kutoka Ufaransa kisiwa cha Mayote kilipiga kura kubakia sehemu ya Ufaransa. Leo hii Mayote ni moja...
Nimesituka baada ya kusikia kwamba Mdogo wake na Rostam Aziz aitwaye ASSAD ABDULSUL AZIZI amepelekwa mahakamani jana kwa kosa la kukutwa na 92.2kg. Hapa naogopa kumupongeza Rais Kikwete lakini...
Katika karne ya 19 lilikuwa jambo la kawaida kwa wazungu kukusanya wanyamapori kutoka sehemu mbali mbali za dunia, na kisha kuwapeleka nyumbani kwao Ulaya kuwaweka kwenye makavazi ili waweze...
Bwana Mfugale tunaomba jibu!
Watu walioko kando kano ya barabara ya Pangani, walisimamishwa kufanya maendeleo yoyote kwenye nyumba zao baada ya kuwekewa X. Sasa yapata miaka! Mfugale, kuna lolote...
December 20th 2018
by:Emily Barrett
In 1999, Richard Anthony Jones was convicted for the aggravated robbery of a woman in a Walmart parking lot. He served 17 years for the crime, all the while...
Wakuu,
Nimecheki mshahara wangu nakuta pungufu ya 50,000.
Nimemwuliza mwezangu na wengine wa taasisi zingine nao hivyohivyoo!!
Inakuaje mishahara inakatwa bila taarifa?
Mnatakiwa Kuendana na Muda na Muwe na Washauri wazuri wa Hali ya Uchumi kama Jamaa wale wa Forex wanavyofanya Analysis basi na Wewe unatakiwa kufanya hivyo hivyo.
Sasa hivi wanaotamba na Hali...
Wapendwa,wana jukwaa habaribza jumamosi.
Kama ilivyo ada ya watanzania kukaa na kupiga story mbili tatu, mimi mwenzenu leo nimeibuka na kumbukizi ya Daktari wetu mpendwa Louis Shika. Yuko wapi...
Habari wanajukwaa
.
.
ni wakati muafaka wa sisi wachaga kwenda moshi kama kawaida mwisho huu wa mwaka
.
.
Huu ni utamaduni nzuri mno sio kwa wachaga tu hata kwa jamii nyingine kama wakikuyu nk
.
...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo,ameuagiza uongozi wa halmashauri ya jiji la Arusha,kuhakikisha inawalipa fidia wananchi zaidi ya 20 wa kata ya Olasiti kiasi kinachofikia sh,bilioni 1.7 ili...
Kiukweli nahisi hapa tafsiri hii haina uhalisia na nadhani aliyeasisi msamiati huu hakuwa sahihi. Mimi ninavyojua, BINGWA ni asiyeshindwa katika fani yake. Mfano Bingwa wa mieleka maana yake...
Mzuqa
Mda siyo mrefu natinga hapo Dar halafu ntaelekea Arusha kwaajili ya mapumziko ya Kristmas na kukimbia hili pupwe kwa muda.
Nimenunua Drone Amazon. Sasa nataka nikifika Dar tu sitaji siku...
MTANDAO wa Mashirika ya kupambana na matumizi mabaya ya pombe nchini (TAAnet) imetoa wito kwa Serikali kutunga sera juu ya kudhibiti matumizi mabaya ya pombe katika mkutano uliofanyika jijini Dar...