Natafuta ukumbi mdogo wa harusi Dar

Natafuta ukumbi mdogo wa harusi Dar

Uzazi wa Mpango

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
1,382
Reaction score
1,232
Msaada wenu wanajamvi;Naomba kujua ukumbi mzuri kwa ajili ya harusi wa watu si zaidi ya 200 hapa Dar.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Labda niweke na budget ili iwe rahisi zaidi, budget yangu isizidi 1 million wakuu.
 
Ntafuta # ndio nn.... We ni ME au KE...?
 
Msimbazi center pia ni pazuri, usalama ni mkubwa pia parking ni kubwa.wana kumbi kadhaa nadhani kuanzia watu 200 kuendelea.
 
Bado naendelea kupokea list wanajamvi kwani ukiwa na sample kubwa ndio unakua na wigo mpana wa kupata kizuri zaidi
 
nenda kanisa la roman katoliki manzese big brother wana kumbi 2 nzuri na bei nafuu
 
Kanisa la Roma Mbezi mwisho, ama pale pale mbezi pale polisi ya zamani uliza kwa Rama muuza kahawa kuna kibao cha ukumbi, uko mita 150 kutoka barabara ya morogoro.
 
Msaada wenu wanajamvi;Naomba kujua ukumbi mzuri kwa ajili ya harusi wa watu si zaidi ya 200 hapa Dar.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Labda niweke na budget ili iwe rahisi zaidi, budget yangu isizidi 1 million wakuu.
Cardinal Rugambwa Social Hall St. Peters Oysterbay
 
Back
Top Bottom