Makinikeni; wapiga chabo wapo hawalali

Makinikeni; wapiga chabo wapo hawalali

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Kwa mara ya kwanza nimpongeze bash boy this time kwa kuweza ku draw attention na kufanya wakuu wapumue walau kwa masaa 48... Hii pengine inaweza kufika saa 72... Sio saa chache hata kidogo... Ishu ya MALEZI ya watoto imeigusa Jamii kwa namna yake hata kama kuna mapungufu mengi... Lakini imeleta unafuu mkubwa mpaka mikakati ya mwembamba kama reli kidogo imefunikwa... Basi sio mbaya nikimpa hongera japo akiendelea na hii michezo yake hatarishi kuna siku atakwaa kisiki cha mpingo... Akumbuke za mkwezi mbili... This may happen too soon than ever
Siku hizi nchini mwetu tuna wapiga chabo wapya... Sio wale wa gesti house za uswahilini kwetu wanaojifurahisha wenyewe... La hasha... Tena hasha kabisa

Wapiga chabo wa sasa usirembe nao.. Wana mitambo na vifaa vya kisasa kabisa vya kuweza kunasa mawasiliano yako yote kuanzia michepuko mpaka ulozi... Uko wapi na nani unafanya nini, unawasiliana na nani kwa njia gani...
Baada ya hapo wanachagua tu siku na saa na mahali pa kuweza kukunyakua.... Ukifanikiwa kuokotwa umelewa chakari barimi ekstra raga... Katambike Msata kilingeni... Lakini ni ngumu kujua ulifanyiwa nini japo si rahisi sana kupasuliwa yai.....
Tumakinike tu na mawasiliano yetu.... Wapiga chabo wamesambaa kote. Lakini hata hivyo ni kwa ulinzi wetu wenyewe ila TUMAKINIKE..... Huku tukisema Asante wayahudi.. Zawadi imepokelewa kwa niaba.... Wapiga chabo wanajinafasi..

Makinika.... Sio makinikia...
creatures-of-alien-origin_Water-Mite.jpg
 
Usiwapige mateke hawa barabarani ukiwaona wakimbie ila kama una petrol wapige kibiriti... Ishu za Tanga zinarudi vifuu vinaongea... Chatu wanabaki na wewe pekeyako chumbani...
creatures-of-alien-origin_featured.jpg
creatures-of-alien-origin_Argulus.jpg
 
Mkuu usisite kunipitia baadae nami nikakuone kilingeni mi ni jirani yake na Cha mdeko.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] andaa kaniki
 
Kwa mara ya kwanza nimpongeze bash boy this time kwa kuweza ku draw attention na kufanya wakuu wapumue walau kwa masaa 48... Hii pengine inaweza kufika saa 72... Sio saa chache hata kidogo... Ishu ya MALEZI ya watoto imeigusa Jamii kwa namna yake hata kama kuna mapungufu mengi... Lakini imeleta unafuu mkubwa mpaka mikakati ya mwembamba kama reli kidogo imefunikwa... Basi sio mbaya nikimpa hongera japo akiendelea na hii michezo yake hatarishi kuna siku atakwaa kisiki cha mpingo... Akumbuke za mkwezi mbili... This may happen too soon than ever
Siku hizi nchini mwetu tuna wapiga chabo wapya... Sio wale wa gesti house za uswahilini kwetu wanaojifurahisha wenyewe... La hasha... Tena hasha kabisa

Wapiga chabo wa sasa usirembe nao.. Wana mitambo na vifaa vya kisasa kabisa vya kuweza kunasa mawasiliano yako yote kuanzia michepuko mpaka ulozi... Uko wapi na nani unafanya nini, unawasiliana na nani kwa njia gani...
Baada ya hapo wanachagua tu siku na saa na mahali pa kuweza kukunyakua.... Ukifanikiwa kuokotwa umelewa chakari barimi ekstra raga... Katambike Msata kilingeni... Lakini ni ngumu kujua ulifanyiwa nini japo si rahisi sana kupasuliwa yai.....
Tumakinike tu na mawasiliano yetu.... Wapiga chabo wamesambaa kote. Lakini hata hivyo ni kwa ulinzi wetu wenyewe ila TUMAKINIKE..... Huku tukisema Asante wayahudi.. Zawadi imepokelewa kwa niaba.... Wapiga chabo wanajinafasi..

Makinika.... Sio makinikia... View attachment 740738
MWEMBAMBA KAMA RELI KIDOGO..=..MAMBI...
 
Ya urithi haifai in genetics za wafu
Nitaazima ata kwa jirani ili tu nimakinike nisije kugongewa Yai na kutajiwa michepuko yangu yote wakifika wakute hewa tu nipo zangu kilingeni nakula bata.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mimi nimechukua lile bandiko la somebody chahali(msaada wa muizraeli kwenda kwa watu wengine)+operation April9
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom