Habari zenu wakuu,
Bila kupoteza mda naomba niende moja kwa moja kwenye mada
Kuna bro angu mmoja hv kanizidi miaka ka minne ana tatizo kanieleza ili ni mshauri ila nmeshndwa na kwa kuwa humu kuna wataalam wa tunguli nimeona nililete ili apate ushauri bora kabisa
Anasema alipokua mtoto mdogo kama darasa la tano hv alianza tabia ya kua anapotea potea nyumbani.alikua akiondoka bila ruhusa na kwenda kwa rafiki zake wa shule anakaa ka siku tano ndo anarudi.mama ake aliona ka amerogwa hv ikabidi aende kwa mganga.mganga alimwambia kua mtoto ake yupo vizuri hajalogwa ila ana nyota Kali sana asije mpeleka kwa mganga yoyote yule na akikua amwambie asikanyage kwa mganga
Siku zikapita,alipofika sekondari alianza kufeli feli maza ake akajua kua atakua anachezewa,mama ake akaenda kwa mganga mwingine
Nae alimwambia kua dogo hajarogwa ila ana nyota Kali sana ya uongozi na atafaulu hadi chuo,lakn akamsisitza asije mpeleka kwa waganga na akaongeza kua atapata misukosuko sana ila atatoboa kwani ana nguvu za kupambana na wachawi wake bila hata yeye kujua
Bro alipomaliza chuo alipgwa ukata wa hatari na shida nyingi.kutokana na changamoto ya kazi ilibidi akachezeshe kwa mganga licha ya kua alisimuliwa vyote na mzazi wake ila hakua na namna
Alifanikiwa kwa mwaka mmoja tu ila baada ya miaka miwili kajikuta kule kule kwenye shida na tabu nyingi tena zimeongezeka
Sasa anajiuliza afanyeje??(amesha fanyiwa maombi sana na yeye ni mtu wa dini siku hz)
Mimi binafsi Ninajiuliza
1-je wale waganga wa mwanzo walikua wakweli au ndo walimfanyia mbaya AF wakampiga mkwara wakiogopa kupanguliwa nawao
2:je tiba ya hili swala ni ipi?
Ushauri wenu mhimu sana wadau.