Wasifu wa Sheikh ABDILATIF ABDALLA..

Wasifu wa Sheikh ABDILATIF ABDALLA..

Rubawa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2015
Posts
2,055
Reaction score
3,267
WASIFU WA SHEIKH ABDILATIF ABDALLA
Umetolewa na Prof. David P. B. Massamba tarehe 13 Aprili, 2012, kabla ya kumkaribisha Abdilatif Abdalla kutoa Mhadhara Maalumu (“Nafasi ya Wasanii Katika Ukombozi wa Bara la Afrika”) kwenye Tamasha la Nne la Kitaaluma la Mwalimu Julius Nyerere, lililofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam 12-13 Aprili, 2012

''Abdilatif alikerwa zaidi alipogundua kwamba viongozi wa nchi yake walioshirikiana sana na wananchi kwa nguvu zao zote katika mapambano yao dhidi ya mkoloni na wakamfukuza, baadaye waliwageuka wananchi wao, wakawatadia na kuwafanya yaleyale ambayo wakoloni walikuwa wakiwafanyia.

Kutokana na machungu hayo baadhi ya Wakenya wakajiunga pamoja na kuanzisha chama cha siasa cha upinzani kilichojulikana kama KPU (Kenya Peoples Union). Sheikh Abdilatif Abdalla alijiunga na chama hicho cha KPU akiwa na umri wa miaka 19 tu. Akiwa mmoja kati ya wanaharakati vijana katika chama hicho baada ya muda kidogo alianza kutoa maoni yake katika maandishi.''
Screenshot_20181223-221641.jpeg
 
Back
Top Bottom