mara nyingi tumezoe kusoma salamu za mwaka mpya kutoka kwa watu maarufu sana. safari hii basi tusome za kwetu ikiwa ni kushauriana ni kwa jinsi gani tutaweza kujaribu kujipanga na mwaka ulioanza...
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana hususasani miaka 18 hadi 32 kujitunuku na kuitana majina ya wauza madawa ya kule vya kwenye majina makubwa.
Wamejipa majina ya wauza unga maarufu kama Pablo, el...
By ANGELA OKETCH
Results of the first human clinical trial of the HIV drug, Gammora, have shown that it can eliminate up to 99 per cent of the virus within four weeks of treatment.
The results...
Leo nilipita maeneo ya pale Quality center mall, TAZARA, nataka kuingia supermarket nikakuta kofuli hiloo lina mnyororo, mlinzi akasema American supermarket ni mwezi wa tatu huu wameshafunga...
Ndugu watanzania, napenda kuanzisha Uzi huu muhimu Kwa maendeleo ya Taifa letu.
Ni kwamba, baada ya miaka mingi kupita, ni miaka hii jiji letu la Dar es Salaam limekuwa likitajwa sasa katika Top...
Habar ya Christmass wana Jf.
Naombeni ushauri wenu wa namna ya kuhifadhi pesa za kikundi. Kikundi chetu kina watu 40 lakini sio rasmi ila huwa tuanafanya michango ambapo tumefikia hatua ya kuwa...
Nimekasirishwa na matangazo haya ya biashara mitandaoni, naiomba serikali ifuatilie haya aisee kwa ujumla na ni uganga huu wa kwenda kinyume na uumbaji wa Mungu. Ni aibu kwetu na taifa kwa ujumla.
Siku zinakwenda maisha yanazidi kuwa magumu kwao! wengi wamesoma wanaogopa kujiajiri kuuza hata juice ili wapate mlo wao wa kila siku wengi wanakatishwa tamaa kwa vitu vidogo waavyovianzisha wengi...
Kwa kipindi cha wiki moja Jumla ya makosa matano ya udhalilishaji yameripotiwa katika vituo mbali mbali ndani ya mkoa wa mjini magharib unguja.
Akithibitisha kutokea kwa matukio hayo kwa...
heshima kwenu wapendwa katika Tanzania yetu nzuri
leo nakuja na ushauri kidogo.
unafurahia sikukuu ya leo na inayokuja, usisahau kuwakumbuka wale wanaokuangalia. furahi nao kwa kuwatumia pesa...
Mimi ni mtumiaji mzuri wa barabara ya bagamoyo nikitokea mwenge , nimekuwa nikiona magari mengi hasa aina ya daladala yakiwa yameandikwa NANGA BOY kwa nyuma . hivi hili neno huwa lina maana...
Kiukweli hadi nimesahau hata namna na kupigana,nakumbuka miaka ile tuko primary 1997-2002,mapambano daily.
Hasa siku za kufunga shule tulikuwa tunaita Muagano hatari sana,unene na urefu...
Habarini za mda huu wana jamvi
Naomba kufahamishwa vigezo vinavyo hitajika na ubalozi wa Marekani ili upatiwe visa ya kufanya kazi nchini kwao.
Nimejaribu kwenda kwenye site yao lakini sjaelewa...
Habarini wadau,
Nimetafakari kwa kina na nikagundua kuwa kwa dunia tunayoumishi sasa hakuna matusi kwa maana kwamba lugha ambazo zilikuwa zinazungumzwa zamani watu walikuwa wana hofu ya kutaja...
Ni kawaida kwa Mheshimiwa Raisi kutoa zawadi ya vyakula wakati wa Christmas na hata Eid kwa ajili ya yatima na wasiojiweza (vikongwe).
Christmas hii hatujasikia!
Imani , dini na mambo ya kiroho ni mambo matatu mtambuka na yasiyo kuwa na maana sawa kwa wajuvi wa mambo ,
Imani yapasa kuwa msingi imara kumhusu mtu kuelekea thamani anazojipa yeye mwenyewe...
Jamani na nyie mtatoa mapovu yenu, ni wazi kwamba staili ya kiduku imekuwa ndio staili inayopendwa na kutumiwa na watu wengi wenye rika mbalimbali duniani kote...Ila watu wengi siku hizi...