Walimu acheni fujo mnapopata mishahara

Walimu acheni fujo mnapopata mishahara

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,573
Reaction score
16,365
Aisee walimu wakipata mshahara wanafujo kishenzi. Yaani nimetoka dukani ticha kapangisha watu foleni ana kijikaratasi kaorodhesha vitu vingi kishenz mara sukari nusu, mchele kilo moja, marage robo, majani ya chai pkt 2 n.k n.k yaani anahudumiwa yeye tuu ikabidi niahirishe nihamie duka jingine. Jaman walimu acheni kutunyoosha huko madukani pindi mpatapo salary.
 
Hapa anachukua mpunga aje kufanya fujo.
tapatalk_1545476632361.jpeg
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Hapo watakuwa wanatoa ile 25%.
ahahhaha huyu atakua kijana wa yule mstaafu tuliye letewa habari zake humu kuwa kapewa kiinua mgongo...
 
Aisee walimu wakipata mshahara wanafujo kishenzi. Yaani nimetoka dukani ticha kapangisha watu foleni ana kijikaratasi kaorodhesha vitu vingi kishenz mara sukari nusu, mchele kilo moja, marage robo, majani ya chai pkt 2 n.k n.k yaani anahudumiwa yeye tuu ikabidi niahirishe nihamie duka jingine. Jaman walimu acheni kutunyoosha huko madukani pindi mpatapo salary.
 
Kwani kuna aliyekuzuia wewe kutumia pesa zako? Kama huna pambana na hali yako.
 
Aisee walimu wakipata mshahara wanafujo kishenzi. Yaani nimetoka dukani ticha kapangisha watu foleni ana kijikaratasi kaorodhesha vitu vingi kishenz mara sukari nusu, mchele kilo moja, marage robo, majani ya chai pkt 2 n.k n.k yaani anahudumiwa yeye tuu ikabidi niahirishe nihamie duka jingine. Jaman walimu acheni kutunyoosha huko madukani pindi mpatapo salary.
Unataka wasifanye shopping ya nguvu ili January waishi Kwa shida
 
Back
Top Bottom