TCRA mnakwama wapi?

TCRA mnakwama wapi?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,677
Reaction score
3,755
234C6BA8-ACD1-4A3E-B67C-99BD201DE2FA.jpeg

Inakuwaje wasimamizi wa mambo ya mitandao website yenu inakuwa haipo update kiwango hicho huku kukiwa na makosa mengi?

Hili linanifanya niwe na shaka na ufanisi wao

Kuna makampuni yalishajifia tangu zamani ila wanayaonyesha bado active mengne mapya ila hawajayaweka hivi mnakwama wapi?
 
Wanataka kumu-impress Jiwe ndo sababu
Sio kwa kiweka takwimu za kampuni zimeshakufa miaka 10 nyuma halafu kwan hawana utaratibu wa kirenew kweli leseni zao mpaka iwe hivi?
 
Back
Top Bottom