Mwanza location

Mwanza location

Diason David

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Posts
7,554
Reaction score
7,386
Wasalamu wakuu Leo nipo maeneo ya Mwanza Mwanza alimarufu Rock city au ukipenda security city
Lengo langu nikuanza mwaka mpya nikifurahia jiji hili la Mwanza kwa wenyeji tupeni vituo na mahala paku jiburudisha na mambo ya kumbukumbu kidogomuhimu na kwa wageni karibuni sana.
 
Wasalamu wakuu Leo nipo maeneo ya Mwanza Mwanza alimarufu Rock city au ukipenda security city
Lengo langu nikuanza mwaka mpya nikifurahia jiji hili la Mwanza kwa wenyeji tupeni vituo muhimu na kwa wageni karibuni sana
Mkuu unataka vituo vya daladala? kuna buhongwa, mkolani, nyegezi stand, mkuyuni, igoma, buzuruga, meko, kishiri, sabasaba, nela, maduka9, ghana, sahara n. k.
 
Wasalamu wakuu Leo nipo maeneo ya Mwanza Mwanza alimarufu Rock city au ukipenda security city
Lengo langu nikuanza mwaka mpya nikifurahia jiji hili la Mwanza kwa wenyeji tupeni vituo na mahala paku jiburudisha na mambo ya kumbukumbu kidogomuhimu na kwa wageni karibuni sana.
Jitahidi sana usifike nyegezi mkuu [emoji23] kitachokupata usije ukasema hukuambiwa
 
Wako bado ninamuda wakulijua jiji kiundani zaidi japo hali ya magu ila tuombeane uzima wa afya na pumzi.
 
Back
Top Bottom