Kwa ujenzi wa njia nane ulio anza leo ni wazi kabisa KIBAHA imeunganiswa na DSM kiasi kwamba baada ya kukamilika kwa ujenzi huo huwezi kutofautisha kati ya Dar na kibaha, ikumbukwe pia kibaha ni mji wa viwanda.
Kwa maana hiyo kwa nini wilaya ya kibaha isiwe ni sehemu ya wilaya ya DSM na chalinze iwe makao makuu ya mkoa wa pwani? hayo ni mawazo yangu tu.
Pongezi kwa JPM
Kwa maana hiyo kwa nini wilaya ya kibaha isiwe ni sehemu ya wilaya ya DSM na chalinze iwe makao makuu ya mkoa wa pwani? hayo ni mawazo yangu tu.
Pongezi kwa JPM