chakutu
Member
- Feb 23, 2018
- 75
- 64
Naomba kujuzwa juu ya uaminifu wa kampuni ya uuzaji wa magari Realmotor Japan. Website yake ni www.realmotor.jp lakini unapoifungua website yake kuna neno linalosomeka Not secure. Je kuna usalama wa hii website wakati website nyingine zinaonesha alama ya kufuli zikiwa na maana kwamba ni Secure