Wikend hii ngoja nimtetee magufuli

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Nadhani ubabe anaoufanya unamaana na alishauriwa hivyo kwa mazingira ya sasa

imagine uhuru wa maoni na maandamano aliotuachia JK ungeachwa uendelee mikutano ya siasa isingepigwa ban pengine kila siku watu wangekuwa mabarabarani wanachoma moto matairi polisi wangepata tab sana

pengine kusingekuwa na watu wasiojulikana na kupoteapotea kwa watu ...: watu wangeizoea dola watu wasingeiogopa dola watu wangeichezea dola na hatimaye kutawala ingekuwa ngumu watu wasingetawalika vurugu za kijamii zingekuwa nyingi

nadhani ndio maana magufuli anakuwa alivyo ili iwe rahisi kuwatawala watu bila hivyo discipline ingekuwa zero

angalau Leo nimeamka vizuri na mzee magu!!!!
 
Ni kweli JK alitukanwa hadi na watoto wadogo kisa waowapinzani wengine walifikia kusema eti raisi gani dhaifu ila aliwambia mtanikumbuka

Ila Jiwe amewakazia sana apunguze kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
upo sawa kbsa lakini kila kitu kina mazuri yake na mapungufu yake.. we umeangalia upande mmoja, em basi angalia na hali ya kiuchumii ktk utawala wake.
Nnauhakika kuwa hutalala vzuri km ulivyoamka
 
Kuanzia mwakani vyuma vitalegea sana, tusifanye makosa kabisa mikopo bila riba kwa vijana, wakina mama na wajasiriamali, wakulima itakuwa kibao mtaani.

Sitofanya makosa ya 2014 na 2015
 
Back
Top Bottom