Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Papa Francis ataongoza misa ya Wakatoliki nchini Misri hii leo katika siku ya pili na ya mwisho ya ziara yake ya Cairo. Ibada hiyo itafanyika katika uwanja wa wanajeshi, na itaongozwa kwa lugha...
12 Reactions
88 Replies
10K Views
Trump kamvunjia heshima papa ,Trump bila ya hiana alimchezea shere kiongozi wa juu wa kiroho wa RC mpaka pope akakasirika.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Sisi wafanyakazi kwa umoja wetu kama ambavyo mmetusikia kwenye vyombo vya habari tunataka Irene ajiuzuru mara moja. Kutokana na kushindwa na kuonesha hana uwezo wa kufikiria kwa ajili ya jamii ya...
2 Reactions
87 Replies
9K Views
Habari zenu wanajukwaa. Kwa mujibu wa BBC ni kuwa kiongozi wa kanisa katoliki duniani, Papa Francis ametaka sala ya Baba yetu ifanyiwe marekebisho. Lile neno "Usitutie ktk vishawishi" anasema...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Wapinzani kuishia jela Toka alipoingia madarakani miaka mitatu iliyopita, masikilizano baini ya rais Magufuli na viongozi wa vyama vya upinzani si mazuri. Wakati Rais Magufuli akivituhumu vyama...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
obviously poilisi ukiwauliza watakuambia wanamsubiri dereva wa lissu,ila wakati mwingine na sisi wananchi tunawajua hawa watu tuwatenge kadiri tuwezavyo,namba bado zipo hewani,wanaomjua huyo meijo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama haunywi pombe kwasababu za kiafya au unapambana na uraibu hebu fikiria inakuwaje pale unapo lazimishwa kunywa ama kubembelezwa unywe na marafiki au ndugu. Kipindi hiki cha mwisho wa mwaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF. Katika kuelekea mwishoni mwa mwaka huu 2018 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2019 nimeona kuwa kuna ulazima kwa Serikali kufanya mabadiliko kwenye sekta hii nyeti ya...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Morani mmoja katika kaunti ya Kajiado nchini Kenya ameacha watu midomo wazi baada ya kufunga ndoa na wanawake wawili kwa mpigo. Tom Makui, maarufu kama Junior, 27, alifanya sherehe hiyo ya harusi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
924 Views
MSIKIE HAPO ALIVYOTISHIA KUWACHAPA VIBOKO WALIODAI ONGEZEKO LA MSHAHARA MEI MOSI NA HUKU INSTAGRAM AKIJIFANYA KUMFAGILIA JPM KWA KUWAJALI WAFANYAKAZI **MODS NAOMBA MNILINDE*MSIFUTE
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Happy birthday Mheshimiwa Mbunge wa #Mikumi Mungu akupe maisha marefu #ProfessorJay Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwaka 1959 mwezi wa kwanza, wanafunzi tisa toka chuo kimoja katika iliyokuwa Jamhuri ya Kisoviet walifariki katika mazingira ya kutatanisha wakati wakiwa katika matembezi katika milima ya Ural...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Nahisi anamaanisha kwamba Magufuli sasa hivi ni mtetezi sana wa raia na CCM isingempitisha kama angeonesha tabia hii alipokuwa Waziri. Ni kama vile anawajibu wanaosemaga mbona kawa Bungeni kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Daktari Tejas Patel, mkuu wa kitengo cha upasuaji wa kisasa wa moyo katika Taasisi ya Apex Heart Institute iliyopo Ahmedabad nchini India, akiwa anaendelea na upasuaji Dunia inakwenda kasi sana...
6 Reactions
39 Replies
6K Views
Mpaka leo nashangaa muingereza alifanyaje mpaka dhehebu la roman likawa kubwa kwenye koloni lake la tanganyika? Walishindiwa kuipa msaada dhehebu lao la anglican ama walikuwa busy na wizi wa dhahabu?
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari za weekend wakuu.. Najielekeza ktk mada moja kwa moja kuna haya majina ambayo hutumiwa sana au huitwa sana watu wanaotokea mikoa ya kaskazini mwa Tanzania hususani wanaofanya biashara ya...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, kuna kitu kinanitatiza na nahisi kwangu kina umuhimu. Suala la utulivu wa akili yaani Meditation. Nimesoma kwenye post tofauti zilizopita humu na katika blogs kadhaa lakini...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Nipo barabara ya Msata Bagamoyo, na magari yote yamesimamishwa. Kisa? Kuna mheshimiwa kabisa atapita barabara hii, na inaelekea wananchi wa 3rd Class nchi hii tumpishe ili awe peke yake...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Nakumbuka tarehe 17/12/2010 majira ya jioni ndipo habari zilipoanza kuenea kwa kasi kuwa kuna kijana wa ki- Tunisia (Mungu amrehemu) amejichoma moto kwa kujimwagia Petrol kisha kujiwasha na kuanza...
18 Reactions
45 Replies
5K Views
Back
Top Bottom