Dibo10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,298
- 1,563
Akizungumza na waandishi hivi karibuni CEO wa shirika la ndege la green africa ndugu Babawande amethibitisha shirika hilo limeagiza ndege 100 aina ya boeing 737 max 8 katika juhudi za kulijengea uwezo shirika hilo. Mpango huo madhubuti umelenga kutawala biashara ya ndege barani africa na duniani kiujumla. Wakati Tanzania ikiwa ktk juhudi za kulifufua shirika lake la ndege la ATCL ni muhimu kwetu kushirikiana na sekta binafsi na mashirika mengine ya ndege ktk kupambana na mashirika mengine makubwa