Je, tukio hili ni la kweli au walikuwa wanaigiza?

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,762
21,227
NI MCHEZO AU ILIKUWA KWELI?
Update: Wasio na mb kapicha ako hapo 👇CHINI NI VIDEO.

Screenshot_20190103-100522.jpg
 
Attachments

  • VID-20181025-WA0002.mp4
    4.1 MB · Views: 35
Okay kwa ambao hamna mb au mnaogopa.
Hiyo video ina wanaume kama sita hivi wanapigana wana mapanga, wana mabeleshi na rungu. Ndizo wanazotumia kupigana nazo. Rungu zinapigwa na wanaume hawakimbii .
Halafu kama vile kuna team mbili zinazopigana. ila mpaka video inaisha hamna mshindi wametoka SARE.
Sijaelewa lugha inayotumika maana wanapiga kelele , ila ni watu weusi na kama ni Tanzania itakuwa ni TARIME.
sasa mnaweza kudownload.
 
Nimependa ulivyopangilia maelezo ya kwenye hiyo vidio . Naidownload sasaiv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SAFI COMRADE, UMEELEZA KILICHOPO HUMO 👏
Okay kwa ambao hamna mb au mnaogopa.
Hiyo video ina wanaume kama sita hivi wanapigana wana mapanga, wana mabeleshi na rungu. Ndizo wanazotumia kupigana nazo. Rungu zinapigwa na wanaume hawakimbii .
Halafu kama vile kuna team mbili zinazopigana. ila mpaka video inaisha hamna mshindi wametoka SARE.
Sijaelewa lugha inayotumika maana wanapiga kelele , ila ni watu weusi na kama ni Tanzania itakuwa ni TARIME.
sasa mnaweza kudownload.
 
Umepangilia maneno kwa ufasaha kabisa yani nimehamasika sna kiujumla hadi natamani japo niione taswira yako jinsi ulivyo.
Okay kwa ambao hamna mb au mnaogopa.
Hiyo video ina wanaume kama sita hivi wanapigana wana mapanga, wana mabeleshi na rungu. Ndizo wanazotumia kupigana nazo. Rungu zinapigwa na wanaume hawakimbii .
Halafu kama vile kuna team mbili zinazopigana. ila mpaka video inaisha hamna mshindi wametoka SARE.
Sijaelewa lugha inayotumika maana wanapiga kelele , ila ni watu weusi na kama ni Tanzania itakuwa ni TARIME.
sasa mnaweza kudownload.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay kwa ambao hamna mb au mnaogopa.
Hiyo video ina wanaume kama sita hivi wanapigana wana mapanga, wana mabeleshi na rungu. Ndizo wanazotumia kupigana nazo. Rungu zinapigwa na wanaume hawakimbii .
Halafu kama vile kuna team mbili zinazopigana. ila mpaka video inaisha hamna mshindi wametoka SARE.
Sijaelewa lugha inayotumika maana wanapiga kelele , ila ni watu weusi na kama ni Tanzania itakuwa ni TARIME.
sasa mnaweza kudownload.
Umenikosha asee nataka uwe mwalimu wangu somo la ufahamu na lugha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay kwa ambao hamna mb au mnaogopa.
Hiyo video ina wanaume kama sita hivi wanapigana wana mapanga, wana mabeleshi na rungu. Ndizo wanazotumia kupigana nazo. Rungu zinapigwa na wanaume hawakimbii .
Halafu kama vile kuna team mbili zinazopigana. ila mpaka video inaisha hamna mshindi wametoka SARE.
Sijaelewa lugha inayotumika maana wanapiga kelele , ila ni watu weusi na kama ni Tanzania itakuwa ni TARIME.
sasa mnaweza kudownload.
sio hatuna mb bali tunajihadhari kuchoma mb kisa ujinga ujinga
 
Okay kwa ambao hamna mb au mnaogopa.
Hiyo video ina wanaume kama sita hivi wanapigana wana mapanga, wana mabeleshi na rungu. Ndizo wanazotumia kupigana nazo. Rungu zinapigwa na wanaume hawakimbii .
Halafu kama vile kuna team mbili zinazopigana. ila mpaka video inaisha hamna mshindi wametoka SARE.
Sijaelewa lugha inayotumika maana wanapiga kelele , ila ni watu weusi na kama ni Tanzania itakuwa ni TARIME.
sasa mnaweza kudownload.
Umetaja hadi kwetu Tarime$😁😁
 
Asante kwa kutusaidia wale wa Freebasics.
 
Nakupenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom