Mwenye kujua kusoma ramani jamani.

Mwenye kujua kusoma ramani jamani.

janjab

Senior Member
Joined
May 28, 2015
Posts
172
Reaction score
56
Je kwa vipimo hiv ni bati kiasi gani zitahitajika pamoja na mbao
IMG_20181231_204941.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma hiyo wee Engineer...
Hapo umeinyesha details chache sana kuweza kukadiria idadi ya bati zinazohitajika.
 
Aisee, nimejikuta nacheka tuu. umaskini mbaya sana nchi hii. Mafundi wapiga dili, jamaa kawashtukia.
 
Sasa akiweka foundation plan halafu nusu tu ya nyumba ndio inaezekwa kwa bati we utajuaje? Au akaweka foundation plan halafu ikapauliwa kwa mgongo wa tembo badala ya polgonal wewe utajuaje?
mkuu naona una nadhalia sana...

a) toa majibu ya mgongo wa tembo
b) to a majibu ya polgonal

toa ushauri....

mwisho hacha afanye maamuzi...

una zungukaa.. una anza mtisha na misamiati kibao...

foundation plan ndio inatoa floor plan na floor plan Ina toa roofing plan...

una weka maneno kibao, una mkimbiza mchaka mchaka mteja mpaka aone swala jepesi kuwa ni gumu...!
 
Back
Top Bottom