MICHUTZ
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 271
- 531
Wazooefu wa kuomba passport kwa Mara ya kwanza embu nisaidie, ni Ugumu upi ntaupata hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!! NahitajiAnza kutafuta hela hivyo vingine vyote utaituma hela kuvileta kwako
We tafuta hela hivyo vyote vitakuja nyumbani kwako vyenyewe naomba uniamini msemakweli ni mpenzi wa Mungu
Hahahahaha!! Inamaana unaamanisha toa hela upate kitu.We tafuta hela hivyo vyote vitakuja nyumbani kwako vyenyewe naomba uniamini msemakweli ni mpenzi wa Mungu