Kwanini watu ni woga wa kupima UKIMWI?

if cap fits

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
1,381
1,873
Eti wadau tatizo la uoga wa kupima HIV ukimwi ni kwa watu wengi au ni kwa qwachache wenye hofu na afya zaoo!.mana kuna watu hawataki kusikia hii kitu kupima ,nini maoni yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilipima na dada mmoja wa kitaa baada ya kumuahidi cm yangu moja kati ya mbili ninazotumia,akakubali,alichukuliwa vipimo akasepa hom mm nikawa nayasubiri majibu,majibu yakatoka yy yupo Positive mm negative sasa akawa ananipgia cm nimpe majibu ,yan nikawa nashindwa la kumjibu,ilithihilisha wazi kuwa hakuwa anajua afya yake.

acha uongo yani majibu ya mtu mwingine upewe wewe
 
nilipima na dada mmoja wa kitaa baada ya kumuahidi cm yangu moja kati ya mbili ninazotumia,akakubali,alichukuliwa vipimo akasepa hom mm nikawa nayasubiri majibu,majibu yakatoka yy yupo Positive mm negative sasa akawa ananipgia cm nimpe majibu ,yan nikawa nashindwa la kumjibu,ilithihilisha wazi kuwa hakuwa anajua afya yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vp majibu yake ulimpaje sasa?
 
Nilishapima na kukimbia majibu mara 10. Mara ya 11 alinipima doctor rafiki yangu akanifungia mlango kwa nje aliporejea kuniletea majibu akakuta karibu nakata roho

Jasho hadi kwenye kucha.

Hadi sasa nimezoea kupima kila baada ya miezi 3 lakini bado roho huwa naiacha getini
 
Back
Top Bottom