Ukiotesha miembe 12, katika miezi 12, yani kila mwezi unaotesha mwembe mmoja, wakati wa mavuno huwa ni mmoja, vivyo hivyo kwa mizambarau.
Leo hii miembe ya zamani yenye miaka 50 plus, ina msimu...
MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Evangelisim Assembless Of God Tanzania (EAGT) Ipagala, Evanc Chande, amewaonya wafanyabiashara, wakulima na waumini wa dini mbalimbali wanaokwepa kulipa kodi ya...
Sijui haya Mabadiliko ya mifumo ya maisha ya watu inatokana na nini, kitambo kidogo watu waishio mijini walikuwa wanakutana vijiweni na kupiga story mbili tatu.
Na waishio vijijini walikuwa nao...
SERIKALI imesema hadi ku kia Desemba 31 mwaka 2018, korosho zilizokuwa zimenunuliwa na ziko kwenye maghala makuu ni tani 197,132.9. Sambamba na hayo, akaunti 131 zimefungiwa na serikali kutokana...
Kwa nini watu wa Malawi wanaishi Tanzania bila kibali lakini Warundi kule Kigoma wanaitwa wakimbizi, Wasomali wanaitwa wahamiaji haramu, Wakongo wanaitwa Wakimbizi..
Kwanini watu wa Malawi...
By Daniel Mjema na Jesse Mikofu,
dmjema@mwananchi.co.tz
Moshi/Mwanza. Ile adha ya foleni za magari iliyokuwa katika Jiji la Dar es Salaam imehamia Moshi.
Msongamano mkubwa wa magari uliojitokeza...
Serikali kupitia Wizara ya Maji na Umwagiliaji imekabidhi jengo jipya lenye thamani ya Bilioni 40 kwa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASA) ili kuongeza ufanisi katika usambazaji...
Namtafuta Dr Danny Njau popote alipo. Dr huyu alikuwa anahojiwa katika kipindi cha KUMEKUCHA ITV week iliyopita
Pia Dr huyu taarifa zake ziliandikwa katika gazeti la MTANZANIA la Jana.
Doctor...
Ndivyo ilivyo hata kwa sisi binadam unapopanga kumdhoofisha au kumwangamiza mwenzako jua kabisa nyuma yake kuna kundi litateseka,haijalishi unamdhoofisha kwa njia ipi...#Tafakari
Wakuu,nawasalimia katika Bwana!
Ni Alhamis nyingine tena,tunapoelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu,na uchaguzi ujao wa 2020 ni vema zaidi tukaanza kuangalizia Taasisi...
Wakuu kwema ?
Naam niende moja moja kwenye Maada, ukitembelea fukwe nyingi Dar ni chafu mno i.e maji machafu, mchanga pembezoni mwa bahari hali kadhalika.
kuanzia Coco beach, Mikadi, chadibwa...
A month before his scheduled departure after nearly two decades as Congo’s president, Joseph Kabila received a procession of foreign reporters at his heavily guarded riverside palace for a rare...
Nimekuwa mfuatiliaji sana na matukio mengi kupitia live stream pale viongozi mbalimbali wanapokuwa wanaongea na waandishi wa habari kupitia vyombo mbalimbali vya habari huku wengi wao wakiwa...
Heri ya mwaka mpya nduguzanguni, natumai sote ni wazima na hatuna budi kupeleka shukran zetu kwa mungu alietuwezesha sisi kuweza kuuona mwaka mwengine kwani wapo wengine waliotaman kuufikiamwaka...
Yapo mambo mengi ambayo watu hubadilika na kuacha lakini SIYO ROHO MBAYA!
Tabia nzuri au mbaya chimbuko lake ni MATAMANIO (needs), Tabia za kimatamanio zote binadamu anaweza kuziacha lakini siyo...