Wakuu msaada wa haraka sana: Namtafuta Dkt. Danny Njau popote alipo

GRAMAA

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
1,155
3,399
Namtafuta Dr Danny Njau popote alipo. Dr huyu alikuwa anahojiwa katika kipindi cha KUMEKUCHA ITV week iliyopita

Pia Dr huyu taarifa zake ziliandikwa katika gazeti la MTANZANIA la Jana.

Doctor huyu amegundua sawa ya figo na homa ya INI.

Yeyote anayejua jinsi ya kumpata please naomba anisaidie sana
 
Nenda kwenye ofisi za ITV na MTANZANIA ueleze nia na lengo la kumtafuta watakupatia mawasiliano nina uhakika wanayo
 
Kama huwezi kufika ofisi za ITV jaribu kumtafuta aliyekuwa anamuhoji kwenye social media mueleze shida yako anaweza akakusaidia namna ya kumpata!
 
Pole mkuu,ini ni ugonjwa hatari sana...kuna member humu nachelea kuandika RIP Kwa kweli!
 
Usimfanyie mwenzio hivo kuugua siyo kufa wangapi wamekufa mwezi huu kupitia ajali na sababu zingine na wenye matatzo hayo bado wapo kifo Ni mipango ya muumbaji hata wew waeza tangulia ukamwacha hivo usimfanyie isthzai
 
Namtafuta Dr Danny Njau popote alipo. Dr huyu alikuwa anahojiwa katika kipindi cha KUMEKUCHA ITV week iliyopita

Pia Dr huyu taarifa zake ziliandikwa katika gazeti la MTANZANIA la Jana.

Doctor huyu amegundua sawa ya figo na homa ya INI.

Yeyote anayejua jinsi ya kumpata please naomba anisaidie sana
Ushampata dk
 
Write your reply...mkuu ushampata dkt danny njau wa figo..vp amekusaidia umepona figo au bdo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom