Merry Christmas Tundu Lisu

Ubarikiwe! Nakuachia Mungu mwenye uwezo akuhumu!
Mungu wako ndio Mungu wangu ndio Mungu wa Lissu ndio Mungu wa JPM ndio Mungu wa Lipumba ndio Mungu wa Sugu ndio Mungu wa Mbowe ndio Mungu wa Simba ndio Mungu wa Nkana ndio Mungu wa nyoka ndio Mungu wa vibaka ndio Mungu wa majambazi ndio Mungu wa mazuri, vizuri na mabaya, hivyo acha kumchanganya Mungu.
 
Kwa mapenzi ya watu wasiopenda kukosolewa, leo ni Christmas ya pili, uko nje ya nchi bila hata unafki wa kukusaidia matibabu.

Merry Christmas TAL. Mungu mwema atakulipia
Namwambia Jiwe kuwa "THE EVILS THAT MEN DO LIVE AFTER THEM". Hili utalilipia huko kaburini utakakokuwa umelala! Mungu hatakuacha hivi hivi!
 
Mungu wako ndio Mungu wangu ndio Mungu wa Lissu ndio Mungu wa JPM ndio Mungu wa Lipumba ndio Mungu wa Sugu ndio Mungu wa Mbowe ndio Mungu wa Simba ndio Mungu wa Nkana ndio Mungu wa nyoka ndio Mungu wa vibaka ndio Mungu wa majambazi ndio Mungu wa mazuri, vizuri na mabaya, hivyo acha kumchanganya Mungu.
Mimi nimemaliza.
 
Namwambia Jiwe kuwa "THE EVILS THAT MEN DO LIVE AFTER THEM". Hili utalilipia huko kaburini utakakokuwa umelala! Mungu hatakuacha hivi hivi!
Ndio maana nimekwambi Mungu wako ndio Mungu wa jpm na wengine, usimchanganye akupendelee wewe na upande wako. Yuko neutral!
NIMEMALIZA.
 
Si Mbali sana Kuna mambo mengi wamefanyika ya hovyo, bado machache yatatokea na atakuwa kimbilio letu. Merry KRISMAS Honorable Lissu.
 
One day people will be shouting lisu is back again,they will be dancing and celebrating for the coming back of their voice from abroad ,,sitaamin cku nkimuona hat kweny vyombo vya habar akihojiwa akiwa uwanja wa ndege japo wale watu wanao vaa miwan watamzoie wakiongozwa na wale wanao beba moshi mkali unao toa machozi... Ila nakujua utaongea tuu maana ushasema utaacha kuongea cku ukfa
 
Wengine walitamani iwe Christmas ya pili akiwa amelala mavumbini.
Acha Mungu aitwe Mungu!
Mungu mkubwa zaidi ya wote!
 
Back
Top Bottom