mkuu wa mkoa kuzuia likizo

mkuu wa mkoa kuzuia likizo

DR MANJALA

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
306
Reaction score
232
Mkuu wa mkoa kuzuia watumishi kwenda likizo imekaaje hii wadau
 
Wakuu wengi wa mikoa hawajui wajibu na mipaka ya kazi yao. Wengi nafanya maamuzi kama mizimu, wanapenda kuabudiwa na kusujudiwa
 
Wakuu wengi wa mikoa hawajui wajibu na mipaka ya kazi yao. Wengi nafanya maamuzi kama mizimu, wanapenda kuabudiwa na kusujudiwa
system ya utawala wa sasa ni sawa kabisa na ile ya Waaajerumani ya DIRECT RULE ambapo hawa watu walikuwa ndo kila kitu, chini kulikuwa na maakida na Jumbe na utawala haukupendwa resistances zillikuwa kila mahali
 
Back
Top Bottom