Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,643
- 7,211
Wakuu kwema ?
Naam niende moja moja kwenye Maada, ukitembelea fukwe nyingi Dar ni chafu mno i.e maji machafu, mchanga pembezoni mwa bahari hali kadhalika.
kuanzia Coco beach, Mikadi, chadibwa, South Beach, kijiji beach na sehemu nyinginezo ..
Binafsi nimetembelea fukwe chache nje ya Dar , fukwe nyingi za Unguja kama Matemwe, Darajani, Nungwi ni safi mno ukitembelea unafurahia na nafsi yako,
Fukwe za Tanga kama Raskazone, Pangani ni safi mno unafurahia na kupata pumbazo la moyo ukitembelea,
Nenda pale ziwa Victoria tena wameweka garden kabisa, sehemu imekua matata hasa
Nini hasa kinachosababisha fukwe za Dar ziwe na utofauti na sehemu zingine, kimsingi watu wengi kipindi cha sikukuu hua wanapenda kwenda ufukweni hasa Dar,
Karibu tujadili
Note: Sijaambatanisha picha
Sent using Jamii Forums mobile app