Nime-renew leseni yangu TRA tangu Oktoba, je bado hazijatoka?

Premij canoon

JF-Expert Member
May 27, 2018
1,115
2,490
Heri ya mwaka mpya nduguzanguni, natumai sote ni wazima na hatuna budi kupeleka shukran zetu kwa mungu alietuwezesha sisi kuweza kuuona mwaka mwengine kwani wapo wengine waliotaman kuufikiamwaka huu ila hawakuweza kuufikia yote hayo kwa mapenz yake yeye alie juu juu zaidi...
Moja kwa moja niingie kwenye mada ilionileta hapa...

Mwaka jana nilipoteza driving licence yngu nikaenda ku renew ilikua ni mwez wa 10, nikalipia 40,000/= kupitia cm banking kwa CRDB (ACC YA TRA). Wakaniambia kwamba mpaka utakapotumiwa ujumbe (message) ndipo urudi kuchukua licence yako, ila hadi sasa naona kmya hakuna taarifa zozote zile. Hvyo nilikua nauliza je licence hazijatoka bado? Au labda kuna tatzo lolote ambalo labda silijui?

NAWASILISHA... ASANTENI
 
Watu walio apply mwezi wa 6 wametumiwa msg mwezi wa 11 hapo,so kaza buti mjomba.
 
Bado sana. Mimi Nime renew toka mwezi wa sita bado sijapata, ! Natembea na risiti zao tu

Sent from my TECNO-N2S using Tapatalk
 
Kama hakuna aliyetumbuliwa kwa huu uzembe, inamaana serikali imekubali kuchukua hii aibu.
Hizo lesseni zinatengenezewa material gani ambazo hazipatikani kwa miaka kadhaa? Kwanini tusiamini wanakusanya pesa lakini haziendi kwenye matumizi lengwa? Kama mwananchi ametoa pesa kwa ajili ya lesseni, kwanini msinunue materials mkatengeneza hizo lesseni?
 
Deep sana hii mkuu... Kitu leseni tuu tabu yote hii
 
Back
Top Bottom