Habari wakuu?
Niwie radhi kama hoja hii inakua chukizo. Napia niombe radhi kuposti hapa badala ya jukwaa la dini.
Lengo ni kutaka kujua tuu ilikuongeza maarifa ili hata watoto wetu wakituuliza...
Mwanaume mmoja mkazi wa wilaya ya Bukombe mkoani Geita, aliye julikana kwa jina la Selemani Mashauri (37), amemuua kwa kumyonga mkewe, Teddy Maro akimtuhumu kuwa kamwambukiza Virusi Vya Ukimwi...
Alisema serikali inahitaji kuona watumishi wa umma wanakwenda kwa wananchi kusikiliza kero na changamoto mbalimbali zinazowakabili ili kushirikiana nao katika kuzipatia ufumbuzi.
Kwa mujibu wa...
Nimepanda gari namba 1 Dar kwenda Bukoba, namba DFM ni gari iliyochakaa sana nje hadi ndani na hata kupanda mlima ni shughuli. Mbaya zaidi lugha chafu, hawazingatii muda, siti zimechakaa sana na...
Mshahara 600.000, pango la nyumba 100.000 kwa mwezi, nakula 200.000 kwa mwezi.
Hela ya umeme na maji 25000, nauli 30000 kwa mwezi, sina mpenzi.
Hivi kwa mnaolipwa huo mshahara mmeweza hata...
Baadhi ya matatizo yaliyogundulika ya aina hii ya ndege ni pamoja na matatizo ya betri ambayo hutumia "lithium" na kusababisha matatizo ya mfumo wa umeme.Mathalan ndege za All Nippon Airways na...
*AN OPEN LETTER TO HON. PETER SIMON MSIGWA, MP FOR IRINGA URBAN CONSTITUENCY (TANZANIA) REGARDING PRESIDENT MAGUFULI’S STATEMENT ON ACCESS MARKETS FOR SMALLHOLDER PRODUCERS IN TANZANIA AND REFUGEE...
Hbr ya jion wakuu mbalimbali.tuaze na kumshukuru m/mngu kwa neema za uhai,na afya njema alio tupatia waja wake.tukiwa tumeuza mwaka na Leo January 6 2019.nimekumbuka mambo mengi sana yalio nitokea...
Habari wakuu,
Sasa hivi kumekuwa na idadi kubwa ya matukio ya watoto wenye umri wa miaka 2-4 kupotea. Mara nyingi wazazi au walezi ndio hubebeshwa mzigo huu wa lawama kwa kutokua makini na...
Mwenyezi Mungu ni kila Kitu hapa Ulimwenguni na hili halina ' Ubishi ' labda tu uwe ni ' Popoma ' ndiyo utaleta Ligi ( Utabisha ) ila mpaka leo hii najiuliza ni kwanini katika Uumbaji wake uliojaa...
Dar es Salaam. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limesema limeanza kutekeleza maelekezo ya Rais John Magufuli na wanachama wake watakaopoteza ajira kupewa mafao yao kulingana na...
Naomba mnisaidie ndugu zangu katika hili. Nafahamu kwamba Mei Mosi ni sikukuu ya wafanyakazi, then Nane Nane ya wakulima. Sasa hii sabasaba nikiiangalia inasema ni peasant's day! Nikaangalia maana...
Mambo yanaenda vizuri...
Naona raha sana na kujiamini pindi niuzapo vitu org na vitu vya ukweli yaani ni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]sauti kubwa, super bass,
Pia ninazo...
Jamani nisaidieni, nyumbani kuna socket hii yenye swich mbili. Hapa nyumbani nina Jiko la umeme, je swich ipi hapa niiweke on. Pia nina microwave ambayo nikiwasha switch hiyo iliyokaribu na...
Mkazi wa Kijiji cha Nakayaya wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, Awetu Makunula (44) mwishoni mwa wiki iliyopita amejinyonga hadi kufa kwa kutumia mtandio jirani na nyumbani kwa wazazi wake.
Mume wa...
AN OPEN LETTER TO HON. PETER SIMON MSIGWA, MP FOR IRINGA URBAN CONSTITUENCY (TANZANIA) REGARDING PRESIDENT MAGUFULI’S STATEMENT ON ACCESS MARKETS FOR SMALLHOLDER PRODUCERS IN TANZANIA AND REFUGEE...
Nilikuwa naangalia mpira sebuleni kwangu (man city vs notherham utd ) kombe la FA huko uingereza.
Katika kuangalia angalia nikawa nimepitiwa na usingizi.
Katika kusinzia nikajikuta naota kuwa...
Naona watu hutaja list ya vitabu, walivyosoma 2018.
Mimi tangu 2001 sijasoma kitabu chochote zaidi ya heading za magazeti vituo vya mabasi.
Life iko vizuri tu, naomba niione tofauti yangu na wao...
Habari wapendwa? Mm nimmoja wa watumiaji wa ving'amuzi vya DStv na Azam Naomba kuuliza mwenye info zaidi kwamba zile channel zetu km ITV Eatv startv channel ten Tv E zitarudi lini? Navikosa Sana...
Sheria mpya nchini Saudia inawalinda wanawake kutopewa talaka bila kujua. Kuanzia siku ya Jumapili , mahakama zitatakiwa kuwaelezea wanawake kupitia njia ya ujumbe wa simu kwamba wamepewa talaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.