Hivi Mwenyezi Mungu ' Ubunifu ' huu ulimshinda kweli au basi tu ni ' Makusudi ' yake mwenyewe labda kuna aliyoyahisi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,922
Mwenyezi Mungu ni kila Kitu hapa Ulimwenguni na hili halina ' Ubishi ' labda tu uwe ni ' Popoma ' ndiyo utaleta Ligi ( Utabisha ) ila mpaka leo hii najiuliza ni kwanini katika Uumbaji wake uliojaa ' Ubunifu ' wake wa Kutukuka kabisa hili jambo lifuatalo hakuliweka ndani ya Mwanadamu na hasa hasa kwa Wanaume?

Ewe Mwenyezi Mungu ni kwanini hukutupa Sisi Wanaume au hukutuwekea Kifaa ' Maalum ' mwilini mwetu ili tuwe tunaweza Kutambua kwa haraka sana kama Mwanamke unayemtongoza ni Malaya au Mke wa Mtu au ameshachimbiwa au ana Kisonono au Kaswende au Dally Kimoko / UKIMWI?

Mwenyezi Mungu leo hii Mimi Mwanao Mpendwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nakuuliza haya yote kwakuwa kama kuna Jinsia ambayo kwa sasa inateseka na kuumia mno hapa duniani kwa adha / maudhi yatokanayo na hawa Wanawake basi ni Sisi Wanaume kwani tunadanganywa sana huku tukifanywa ' Mazuzu ' mno ila kama ungekumbuka kutuwekea Sisi Wanaume hicho Kifaa ' Maalum ' cha Utambuzi na nini kilichomo ama Moyoni au Ubongoni mwa Wanawake hawa basi ungekuwa umetusaidia na tungekushukuru zaidi.

Hivi Mwenyezi Mungu unaona sasa raha gani Sisi Wanaume pale tunapotongoza hawa Wanawake kisha ' Wanatudanganya ' kuwa wako ' Single ' na tunaenda ' Kujiachia ' huko walikopanga ( Majumbani mwao ) halafu baadae upo ( Uchi wa Mnyama ) au ( na Suti ya Adam ) kabisa Mpenzi wake anakuja tena kwa ' ambush ' la aina yake na kisha tunakimbia Kuokoa maisha yetu ya kuziacha Boksa na Chenji Chenji zetu za Nauli kisha tunaishia kutembea kwa Miguu ' Boda kwa Boda ' kurudi tunakoishi tukiwa pia na ' Manundu ' ya Vipigo?

Ni kwamba ulisahau au umefanya tu makusudi labda ukiwa una lako jambo Mwenyezi Mungu?

Nawasilisha.
 
Hahaha mwandikie msg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu: "Hiki kifaa "maalum" nimewawekea niye wanaume kichwa cha juu. Lakini wakati mnapotongoza, mnaizima hiki kifaa kwenye kichwa cha juu, na mnawasha kifaa kingine kwenye kichwa cha chini, na hapo ndio balaa inapoanza!"
 
Mwenyezi Mungu ni kila Kitu hapa Ulimwenguni na hili halina ' Ubishi ' labda tu uwe ni ' Popoma ' ndiyo utaleta Ligi ( Utabisha ) ila mpaka leo hii najiuliza ni kwanini katika Uumbaji wake uliojaa ' Ubunifu ' wake wa Kutukuka kabisa hili jambo lifuatalo hakuliweka ndani ya Mwanadamu na hasa hasa kwa Wanaume?

Ewe Mwenyezi Mungu ni kwanini hukutupa Sisi Wanaume au hukutuwekea Kifaa ' Maalum ' mwilini mwetu ili tuwe tunaweza Kutambua kwa haraka sana kama Mwanamke unayemtongoza ni Malaya au Mke wa Mtu au ameshachimbiwa au ana Kisonono au Kaswende au Dally Kimoko / UKIMWI?

Mwenyezi Mungu leo hii Mimi Mwanao Mpendwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nakuuliza haya yote kwakuwa kama kuna Jinsia ambayo kwa sasa inateseka na kuumia mno hapa duniani kwa adha / maudhi yatokanayo na hawa Wanawake basi ni Sisi Wanaume kwani tunadanganywa sana huku tukifanywa ' Mazuzu ' mno ila kama ungekumbuka kutuwekea Sisi Wanaume hicho Kifaa ' Maalum ' cha Utambuzi na nini kilichomo ama Moyoni au Ubongoni mwa Wanawake hawa basi ungekuwa umetusaidia na tungekushukuru zaidi.

Hivi Mwenyezi Mungu unaona sasa raha gani Sisi Wanaume pale tunapotongoza hawa Wanawake kisha ' Wanatudanganya ' kuwa wako ' Single ' na tunaenda ' Kujiachia ' huko walikopanga ( Majumbani mwao ) halafu baadae upo ( Uchi wa Mnyama ) au ( na Suti ya Adam ) kabisa Mpenzi wake anakuja tena kwa ' ambush ' la aina yake na kisha tunakimbia Kuokoa maisha yetu ya kuziacha Boksa na Chenji Chenji zetu za Nauli kisha tunaishia kutembea kwa Miguu ' Boda kwa Boda ' kurudi tunakoishi tukiwa pia na ' Manundu ' ya Vipigo?

Ni kwamba ulisahau au umefanya tu makusudi labda ukiwa una lako jambo Mwenyezi Mungu?

Nawasilisha.
Sikutegemea uandike hichi kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu amekuambia ukitaka kuo tafuta binti mchamungu na familia yake ni ya kichamungu ww nyege zako unatongoza ovyo alafu unataka kumsingizia mungu pia mungu amesha sema mzinifu huoa mzinifu mwenziwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyezi Mungu ni kila Kitu hapa Ulimwenguni na hili halina ' Ubishi ' labda tu uwe ni ' Popoma ' ndiyo utaleta Ligi ( Utabisha ) ila mpaka leo hii najiuliza ni kwanini katika Uumbaji wake uliojaa ' Ubunifu ' wake wa Kutukuka kabisa hili jambo lifuatalo hakuliweka ndani ya Mwanadamu na hasa hasa kwa Wanaume?

Ewe Mwenyezi Mungu ni kwanini hukutupa Sisi Wanaume au hukutuwekea Kifaa ' Maalum ' mwilini mwetu ili tuwe tunaweza Kutambua kwa haraka sana kama Mwanamke unayemtongoza ni Malaya au Mke wa Mtu au ameshachimbiwa au ana Kisonono au Kaswende au Dally Kimoko / UKIMWI?

Mwenyezi Mungu leo hii Mimi Mwanao Mpendwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nakuuliza haya yote kwakuwa kama kuna Jinsia ambayo kwa sasa inateseka na kuumia mno hapa duniani kwa adha / maudhi yatokanayo na hawa Wanawake basi ni Sisi Wanaume kwani tunadanganywa sana huku tukifanywa ' Mazuzu ' mno ila kama ungekumbuka kutuwekea Sisi Wanaume hicho Kifaa ' Maalum ' cha Utambuzi na nini kilichomo ama Moyoni au Ubongoni mwa Wanawake hawa basi ungekuwa umetusaidia na tungekushukuru zaidi.

Hivi Mwenyezi Mungu unaona sasa raha gani Sisi Wanaume pale tunapotongoza hawa Wanawake kisha ' Wanatudanganya ' kuwa wako ' Single ' na tunaenda ' Kujiachia ' huko walikopanga ( Majumbani mwao ) halafu baadae upo ( Uchi wa Mnyama ) au ( na Suti ya Adam ) kabisa Mpenzi wake anakuja tena kwa ' ambush ' la aina yake na kisha tunakimbia Kuokoa maisha yetu ya kuziacha Boksa na Chenji Chenji zetu za Nauli kisha tunaishia kutembea kwa Miguu ' Boda kwa Boda ' kurudi tunakoishi tukiwa pia na ' Manundu ' ya Vipigo?

Ni kwamba ulisahau au umefanya tu makusudi labda ukiwa una lako jambo Mwenyezi Mungu?

Nawasilisha.
Jamaa naona Leo umeamua utumie cheti chako cha nursery kuanzisha uzi humu. Kuna siku nilimwambia mtu Genta ni bonge moja la. POPOMA akabisha. Naamini kwa Uzi huu atanielewa nilimaanisha nini.
 
Binadamu mwenye uwezo wa juu kabisa wa ufahamu na aliyeitumia akili yake vyema, ametumia 10% ya uwezo wa ubongo. Wengi hutumia chini ya hapo.

Imagine kama utajisumbua kutumia angalau 30% itakuwaje? Uwezo wa Mwanadamu ni mkubwa mno kijana. Mkubwa sana. Yaani hata robo tu haujatumika.

Tujisogeze!
 
Umeshaambiwa usizini ni uchafu bado unataka ku kejeli.

Punguani wahed.
 
Mwenyezi Mungu ni kila Kitu hapa Ulimwenguni na hili halina ' Ubishi ' labda tu uwe ni ' Popoma ' ndiyo utaleta Ligi ( Utabisha ) ila mpaka leo hii najiuliza ni kwanini katika Uumbaji wake uliojaa ' Ubunifu ' wake wa Kutukuka kabisa hili jambo lifuatalo hakuliweka ndani ya Mwanadamu na hasa hasa kwa Wanaume?

Ewe Mwenyezi Mungu ni kwanini hukutupa Sisi Wanaume au hukutuwekea Kifaa ' Maalum ' mwilini mwetu ili tuwe tunaweza Kutambua kwa haraka sana kama Mwanamke unayemtongoza ni Malaya au Mke wa Mtu au ameshachimbiwa au ana Kisonono au Kaswende au Dally Kimoko / UKIMWI?

Mwenyezi Mungu leo hii Mimi Mwanao Mpendwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nakuuliza haya yote kwakuwa kama kuna Jinsia ambayo kwa sasa inateseka na kuumia mno hapa duniani kwa adha / maudhi yatokanayo na hawa Wanawake basi ni Sisi Wanaume kwani tunadanganywa sana huku tukifanywa ' Mazuzu ' mno ila kama ungekumbuka kutuwekea Sisi Wanaume hicho Kifaa ' Maalum ' cha Utambuzi na nini kilichomo ama Moyoni au Ubongoni mwa Wanawake hawa basi ungekuwa umetusaidia na tungekushukuru zaidi.

Hivi Mwenyezi Mungu unaona sasa raha gani Sisi Wanaume pale tunapotongoza hawa Wanawake kisha ' Wanatudanganya ' kuwa wako ' Single ' na tunaenda ' Kujiachia ' huko walikopanga ( Majumbani mwao ) halafu baadae upo ( Uchi wa Mnyama ) au ( na Suti ya Adam ) kabisa Mpenzi wake anakuja tena kwa ' ambush ' la aina yake na kisha tunakimbia Kuokoa maisha yetu ya kuziacha Boksa na Chenji Chenji zetu za Nauli kisha tunaishia kutembea kwa Miguu ' Boda kwa Boda ' kurudi tunakoishi tukiwa pia na ' Manundu ' ya Vipigo?

Ni kwamba ulisahau au umefanya tu makusudi labda ukiwa una lako jambo Mwenyezi Mungu?

Nawasilisha.

Wewe unadhani Mungu ni mjomba ??
 
Back
Top Bottom