washwa washwa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 1,613
- 728
Nimepanda gari namba 1 Dar kwenda Bukoba, namba DFM ni gari iliyochakaa sana nje hadi ndani na hata kupanda mlima ni shughuli. Mbaya zaidi lugha chafu, hawazingatii muda, siti zimechakaa sana na ni chafu.
Mmiliki wa hizi basi kaongeza nauli kutoka elf 60 hadi 65, lakini kwa hali ya gari kama niliyopanda leo bora ulipe elf 60 upande basi za kampuni nyingine.
Hii basi niliyopanda inawezekana kanunua kampuni nyingine na kulipiga rangi lakini asingelipa ruti ya pesa nyingi kama hii.
Nimeambiwa basi namba 2 tu ndio nzuri, nyingine zote ni kubahatisha.
Kwa nini wamiliki wa hii ruti wasiige kwenye kampuni kama ABC, Kimbinyiko, Dar Express nk? Kwa nauli ya elf 65 na umbali wa safari kupakiwa kwenye gari chakavu kama hili sio sawa hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app