Hatari na changamoto za Boeing 787 Dreamliner.....

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,295
2,000
Baadhi ya matatizo yaliyogundulika ya aina hii ya ndege ni pamoja na matatizo ya betri ambayo hutumia "lithium" na kusababisha matatizo ya mfumo wa umeme.Mathalan ndege za All Nippon Airways na Japan Airlines ziliwahi kuwaka moto uliotokana na hitilafu ya umeme.Kadhalika ndege ya United Airlines 787 ya marekani iliwahi kukumbwa na tatizo kama hilo lakini kwa bahati yenyewe haikuwaka moto. Matatizo haya yamesababisha Federal Aviation Administration (FAA ) kuuchunguza muundo wa ndege na kutoa ushauri wa kurekebisha.Katika matukio kadhaa FAA ilizuia kabisa ndege hiyo kuruka.Kadhalika imeelezwa kuwa katika ndege mpya 40 zilizotengenezwa za Dreamliner zilikuwa na tatizo katika uundaji wa mabaw a yake...Faida kubwa ya ndege hizi inaelezwa ni gharama za kuzitunza ikiwa chini kwa wastani wa asilimia 30 wakati zile za uendeshaji zukipungua kwa wastani wa asilimia 15.Maoni yangu kwa wazee wa maamuzi ya "mwendokasi" ilikuwa ni bora kufanya utafiti kama wapandaji au wateja watarajiwa wanazichukuliaje ndege hizi ambazo Ethiopia wameshaanza zitumia kwa Africa...kwani faida ya wateja wa nchi za magharibi kuchagua ndege gani apande kwao gharama sio "issue" saana kama nifanyavyo mimi na wewe "wazee wa fastjet" bali kwao usalama ndio "priority"...Tusijepoteza mabilioni arafu tukaishia kumlaumu "Wele Malechela and the likes" kama visingizio kama kawaida yetu kutafuta majawabu kwa njaa ya mkato.
 
God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,826

Una mawazo mazuri sana mkuu, ubarikiwe
 
relis

JF-Expert Member
May 24, 2015
2,547

Mkuu ww ufipa nini? Kwanini hamkosi cha kukosoa sasa hapa umekuja na kautafiti ka kinafki,nikuulize hivi kuna kitu kinatengenezwa bila madhaifu/faida,kwa hiyo tuzingatie uliyosema tukanunue airbus,au emberer kama za fastjet ndio ziko safi,tumenunua q400 mmeziponda ooooh bajaj,zinapiga kazi nnanuna,juzi imeshindwa kugeuka kutoka na na ufinyu wa uwanja mmefurahia,Leo dreamliner unakuja na kautafiti finyu,na nadhani ingekuwa sisi ndio wa kwanza kuinunua mngejaza sledi,tumeshalipia mkuu wacha ije,na nyie mkumbuke ofisi binafsi hamna ile ya ufipa ya kukodi hilo nalo tatizo
 
MduduWashawasha

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
1,657
2,000
Aliyeandika article hii hana hata interest na mambo ya aviation.Anadhani ndege zinaruka kienyeji bila kupitia certification aina aina toka bodi mbalimbali.Hajajiuliza ndege ya MC21 iliyotengenezwa urusi kwanini haijaanza kuruka? Hajawahi kujua kasheshe ya mfumo wa flywire wakati airbus wanaintroduce kwa mara ya kwanza
 
Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,491
2,000
Baadhi ya matatizo yaliyogundulika ya aina hii ya ndege ni pamoja na matatizo ya betri ambayo hutumia "lithium" na kusababisha matatizo ya mfumo wa umeme.Mathalan ndege za All Nippon Airways na Japan Airlines ziliwahi kuwaka moto uliotokana na hitilafu ya umeme.Kadhalika ndege ya United Airlines 787 ya marekani iliwahi kukumbwa na tatizo kama hilo lakini kwa bahati yenyewe haikuwaka moto. Matatizo haya yamesababisha Federal Aviation Administration (FAA ) kuuchunguza muundo wa ndege na kutoa ushauri wa kurekebisha.Katika matukio kadhaa FAA ilizuia kabisa ndege hiyo kuruka.Kadhalika imeelezwa kuwa katika ndege mpya 40 zilizotengenezwa za Dreamliner zilikuwa na tatizo katika uundaji wa mabaw a yake...Faida kubwa ya ndege hizi inaelezwa ni gharama za kuzitunza ikiwa chini kwa wastani wa asilimia 30 wakati zile za uendeshaji zukipungua kwa wastani wa asilimia 15.Maoni yangu kwa wazee wa maamuzi ya "mwendokasi" ilikuwa ni bora kufanya utafiti kama wapandaji au wateja watarajiwa wanazichukuliaje ndege hizi ambazo Ethiopia wameshaanza zitumia kwa Africa...kwani faida ya wateja wa nchi za magharibi kuchagua ndege gani apande kwao gharama sio "issue" saana kama nifanyavyo mimi na wewe "wazee wa fastjet" bali kwao usalama ndio "priority"...Tusijepoteza mabilioni arafu tukaishia kumlaumu "Wele Malechela and the likes" kama visingizio kama kawaida yetu kutafuta majawabu kwa njaa ya mkato.

Kasenene,
Kwanza inabidi ukubali kwamba ndege hii ya aina B787-800 ni ndege ya abiria ya kisasa zaidi kuliko ndege nyingine kutokana na teknologia kuanzia kwenye avionics, engine, bodi na vinginevyo[kutotumia hydraulics n.k.

Bodi pamoja na mabawa ya ndege hii, kwa mara ya kwanza yameundwa kutokana na ‘carbon fibre composite badala ya aluminium ambayo imekuwa ikitumika kwenye ndege za aibiria kwa miaka mingi sana.
Kwa ufupi, bodi ya ndege hii, kwa asilimia 50% imetumika carbon composite fibre, asilimia 20% madini ya aluminium, asilimia 15% titanium na 15% madini ya aina nyingine.

Kutokana na hali hii, ndege hii imekuwa nyepesi kwa zaidi ya asilimia 50 % ukilinganisha na ndege nyingine yenye ukubwa huo. Matokeo yake ni kwamba B787-800 inabeba abiria na mizigo zaidi na wakati huohuo inatumia mafuta pungufu ya asilimia 20% , kelele za engine nazo zimepungua sana na ndege hizi husafiri mbali zaidi ukilinganisha na ndege nyingine za daraja hii kwa ulinganifu wa safari inaweza kwenda umbali wa km 13,600 bila kutua mahala.

Faida nyingine ni kama ulivyoeleza kuwa gharama za uendeshaji na utunzaji wa ndege hizi ni chini zaidi ya ndege nyingine yoyote ile ya daraja la ndege hii.
Matatizo yote uliyoyaeleza yalikwisha shughulikiwa tangu 2013 na FAA walitoa certification.

Kwa ndege nyenye kutumumia teknologia na mifumoya mipya kabisa ambayo haijawahi tumika kwenye ndege za abiria, haikuwa ajabu matatizo yale kujitokeza. Hadi sasa mashirika karibu 45 aidha yame oda ndege zinazo fikia 431 ambapo karibu oda ya ndege 320 zimeshawasilishwa kwa watejana tayari baadhi ya oda zao wameshapata na zinafanyakazi kama ilivyotarajiwa.

Kwa Air Tanzania kuwa na ndege hizi itakuwa faida kubwa sana maana hadi sasa ina makubaliano na nchi nyingi [BASA] lakini haifaidiki kwa vile haina ndege zake wenyewe.
 
Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,300
2,000
Mkuu ww ufipa nini? Kwanini hamkosi cha kukosoa sasa hapa umekuja na kautafiti ka kinafki,nikuulize hivi kuna kitu kinatengenezwa bila madhaifu/faida,kwa hiyo tuzingatie uliyosema tukanunue airbus,au emberer kama za fastjet ndio ziko safi,tumenunua q400 mmeziponda ooooh bajaj,zinapiga kazi nnanuna,juzi imeshindwa kugeuka kutoka na na ufinyu wa uwanja mmefurahia,Leo dreamliner unakuja na kautafiti finyu,na nadhani ingekuwa sisi ndio wa kwanza kuinunua mngejaza sledi,tumeshalipia mkuu wacha ije,na nyie mkumbuke ofisi binafsi hamna ile ya ufipa ya kukodi hilo nalo tatizo
Hivi nyie hizo ndege mnanunua kwa hela zenu za mfukoni? Kwa nini hamtaki walipakodi wahoji matumizi ya kodi zao? Halafu sio kila anayewakosoa ni CHADEMA!
 
relis

JF-Expert Member
May 24, 2015
2,547
2,000
Kasenene,
Kwanza inabidi ukubali kwamba ndege hii ya aina B787-800 ni ndege ya abiria ya kisasa zaidi kuliko ndege nyingine kutokana na teknologia kuanzia kwenye avionics, engine, bodi na vinginevyo[kutotumia hydraulics n.k.

Bodi pamoja na mabawa ya ndege hii, kwa mara ya kwanza yameundwa kutokana na ‘carbon fibre composite badala ya aluminium ambayo imekuwa ikitumika kwenye ndege za aibiria kwa miaka mingi sana.
Kwa ufupi, bodi ya ndege hii, kwa asilimia 50% imetumika carbon composite fibre, asilimia 20% madini ya aluminium, asilimia 15% titanium na 15% madini ya aina nyingine.

Kutokana na hali hii, ndege hii imekuwa nyepesi kwa zaidi ya asilimia 50 % ukilinganisha na ndege nyingine yenye ukubwa huo. Matokeo yake ni kwamba B787-800 inabeba abiria na mizigo zaidi na wakati huohuo inatumia mafuta pungufu ya asilimia 20% , kelele za engine nazo zimepungua sana na ndege hizi husafiri mbali zaidi ukilinganisha na ndege nyingine za daraja hii kwa ulinganifu wa safari inaweza kwenda umbali wa km 13,600 bila kutua mahala.

Faida nyingine ni kama ulivyoeleza kuwa gharama za uendeshaji na utunzaji wa ndege hizi ni chini zaidi ya ndege nyingine yoyote ile ya daraja la ndege hii.
Matatizo yote uliyoyaeleza yalikwisha shughulikiwa tangu 2013 na FAA walitoa certification.

Kwa ndege nyenye kutumumia teknologia na mifumoya mipya kabisa ambayo haijawahi tumika kwenye ndege za abiria, haikuwa ajabu matatizo yale kujitokeza. Hadi sasa mashirika karibu 45 aidha yame oda ndege zinazo fikia 431 ambapo karibu oda ya ndege 320 zimeshawasilishwa kwa watejana tayari baadhi ya oda zao wameshapata na zinafanyakazi kama ilivyotarajiwa.

Kwa Air Tanzania kuwa na ndege hizi itakuwa faida kubwa sana maana hadi sasa ina makubaliano na nchi nyingi [BASA] lakini haifaidiki kwa vile haina ndege zake wenyewe.
Mkuu kijana wa ufipa kashaandika chochote yuko kwenye foleni ufipa anasubili chochote apate sembe usawa mgumu huu.
 
relis

JF-Expert Member
May 24, 2015
2,547
2,000
Hivi nyie hizo ndege mnanunua kwa hela zenu za mfukoni? Kwa nini hamtaki walipakodi wahoji matumizi ya kodi zao? Halafu sio kila anayewakosoa ni CHADEMA!
Kama unapenda kujua kila kitu mkuu kaulizie ufipa ruzuku zote mpatazo mmeshindwa hata kaofisi ka tumilioni 30 tu,baada ya hapo njoo sasa tujadili matumizi ya hela za dreamliner zimeenda mfukoni mwa mtu au?
 
Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,300
2,000
Kama unapenda kujua kila kitu mkuu kaulizie ufipa ruzuku zote mpatazo mmeshindwa hata kaofisi ka tumilioni 30 tu,baada ya hapo njoo sasa tujadili matumizi ya hela za dreamliner zimeenda mfukoni mwa mtu au?
Kuna nihusu nini Ufipa wakati mimi Mzaramo? Mbona wepesi sana kuwabandika sifa watu amabo hawanazo? Wewe uliye CCM kawaulize wakubwa wako ofisi waliyojenga kwa hela zenu!
 
relis

JF-Expert Member
May 24, 2015
2,547
2,000
Hivi nyie hizo ndege mnanunua kwa hela zenu za mfukoni? Kwa nini hamtaki walipakodi wahoji matumizi ya kodi zao? Halafu sio kila anayewakosoa ni CHADEMA!
Pia mnajulikana kwa kupinga kila lililo zuri la serikali hii,tunakusubili dakika chache Rangi yenu ijulikane kwa vinywa vichafu mlivyojaaliwa.
 
Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
13,894
2,000
Wele Malechela and the likes" kama visingizio kama kawaida yetu kutafuta majawabu kwa njaa ya mkato.
Akili imeenda kugota hapa, ushauri ulikua mzuri lakini huku chini ndio umeamua hivi.. Ukujifunza kuandika essay kuwa hitimisho ni Kitu bora
 
ArchAngel

JF-Expert Member
Oct 11, 2015
4,446
2,000
ikija bongo itaundiwa tume na kufanyiwa uhakiki na baada ya hapo taarifa ya tume pia itafanyiwa uhakiki ili kuhakikisha uhakiki wa mwanzo haukua na tatizo halafu mwishowe tume nayo itahakikiwa ili kuhakikisha walio fanya uhakiki walikuwa na sifa stahiki za uhakiki.

kisha baada ya hapo ndege itaruhusiwa kuruka anga la tz
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
48,270
2,000
Kama unapenda kujua kila kitu mkuu kaulizie ufipa ruzuku zote mpatazo mmeshindwa hata kaofisi ka tumilioni 30 tu,baada ya hapo njoo sasa tujadili matumizi ya hela za dreamliner zimeenda mfukoni mwa mtu au?
Acha utoto. Tunahaki ya kuhoji matumizi ya kodi tunazotoa.
 
relis

JF-Expert Member
May 24, 2015
2,547
2,000
Kuna nihusu nini Ufipa wakati mimi Mzaramo? Mbona wepesi sana kuwabandika sifa watu amabo hawanazo? Wewe uliye CCM kawaulize wakubwa wako ofisi waliyojenga kwa hela zenu!
serikali ndo yetu na pesa ndo zetu ofisi tunayo,hatuwezi kosa ofisi sisi kwa huruma tu njooni kwenye jengo letu tulilozindua juzi tuwape ofisi muachane na ile ya ufipa ni aibu kwa kweli
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,140
2,000
We senene ndogo, nani kakwambia kuwa urukaji wa Dreamliner na urukaji wa senene ni sawa?

Dreamliner inaratibiwa, sio blah blah. Kama tatizo ni betri, tutafufua kiwanda chetu cha Matsushita na ndege zetu zitatumia National na Panasonic...alaaaa, hii nchi ya viwanda we vipi.

Watalii watakuwa wanapanda ndege sio senene
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom