chumanile
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 300
- 342
Hbr ya jion wakuu mbalimbali.tuaze na kumshukuru m/mngu kwa neema za uhai,na afya njema alio tupatia waja wake.tukiwa tumeuza mwaka na Leo January 6 2019.nimekumbuka mambo mengi sana yalio nitokea miaka kazaa nyuma ktk maisha yangu,mazuri kwa mabaya.pia nimejifunza mengi sana juu ya matukio hayo.niaze na matukio yalio nifanya nihudhuni na kutoa machozi na kustaajabu.
(1)nikiwa na miaka 22/25nilipata hajari mbaya sana,ilio nifanya nivunjike mkono wa kuria,tukio ambalo kiukweli siwezi kulisaha,kwani limeniachi kilema,na kusababisha kuwekewa chuma mkononi.niliumia sana kiasi ambacho maumivu yake hayana kifani.
(2)nikiwa mpirani kuunda timu ya mkoa,kuelekea taifa,umentashunta,pia nilikutana na tukio LA kihistory LA kuteuka mguu wa kushoto,hali ambayo ikasababwi kuachwa ktk timu yangu ya mkoa.nililia sana kwani niliona ndoto yangu kisoka imeisha pale.
(3)amini ukiona ulicho nacho unaona ni kidogo basi jua kuna watu wanakitamani.siku moja nikiwa barabarani na pkpk yangu mbovu,inatoa moshi tena hata taa ya mbele haiwaki,wakati hua mvua inanyesha,nilikutana na MTU moja akiniomba lifti.aisee nilishangaa kuona hivyo kutokana na aina ya usafiri wenyewe ulivyo.sikukataa,ila nilimpa masharti,ikitoka pancha tunakokota wote,kwa sababu mipira yote vipara tupu.tuliaza safari pia tulifika salama tuendeko.rkn tukiwa tkt chombo chetu,jamaa nilikuuliza unaelekea wapi bro,mbona usiku sana?ilikua SAA NNE,akanijibu mdogo wangu we acha tu haya maisha yanamambo.mmmh nikashangaa,akasema dogo uta amini kua natoka MWENGE NA MGUU?wakati huo mi huyo MTU nimekutana nae kitunda na anaenda magole.nikamjibu naamini,akasema tena HAPA nilipo sina hata mia,na dili nirilo endea sijafanikiwa.aisee ....niliumia sana,na nikajiona kua mimi tajira kwa vile Nina miliki pkpk ata kama mbovu.baada ya kufika nakumbuka nilimpa na 2000/=tukabadilishana no cm tukaachana.so!kutoka na tukio hilo nilijifunza vitu vingi sana,na nikajua shida zipo na zinatofautiana.pia nimejifunza kuto mzalau MTU,kwani kira jambo huja kwa sababu,zake.hivyo usiwe na malingo kwa mali,zako,cheo chako.IPO siku vitatoweka na kua MTU wa kawaida kabisa.pia amini mungu na anatenda miujiza.TUKIO LIPI HUTO SAHAU KATIKA MAISHA YAKO?
Sent using Jamii Forums mobile app