Kesho January 7/1/2019 ni siku ya kuadhimisha uzalio wa yesu kristo (Messiah) kwa watu wenye imani ya dhehebu la Orthodox.
.
Dhehebu hili linawafuasi wengi sana katika nchi za Russia, Ukraine na...
Habari za weekend wakuu,
Najielekeza ktk mada moja kwa moja je,ni sahihi na inafaa kwa mzazi ama mlezi kumfundisha mwanao juu ya taaluma uliyonayo ama biashara.
Mfano mzazi/mlezi uwe...
Kama wote tunavyofahamu Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma ameitisha maandamano aliyoyaita ya amani kumpongeza Rais Magufuli kwa kutengua kanuni ya kikokotoo ya 25% lamp sum.
Ameeleza kuwa maandamano...
Wakuu
Wakati nasafiri kutoka Dar kwenda Dodoma mapema December 2018, abiria tulishuhudia watu watatu wakikusanya pesa zilizomwagika sijajua ni Maeneo gani ya Morogoro pale, ila watu wengine...
Kiwanda cha 21st Century kinaungua moto mida hii.
Kiwanda hicho kinamilikiwa na METL.
Si mara ya kwanza kiwanda hicho kuungua moto, mara ya mwisho ilikuwa 2016
Kulikoni METL?
Habari Wanazengo
Ni jana tu nimepata matokeo ya mwanangu amepata div.4 kidato cha pili..
Kiukweli sijafurahishwa nayo hata kidogo.. Na matokeo hayo yakanipa sababu ya kufikiria matokeo yake ya...
Waziri wa Utalii na Maliasili Dr. Hamisi Kigwangalla katika ziara ya kikazi akiwa na Mawaziri wengine wanne kushughulikia migogoro ya wakulima na wafugaji amesema;
"Saa 5:30 usiku huu ndiyo...
Wadau nimestushwa sana usiku huu kwa kugundua Maana JF mwenzetu #MwanaHaki amefariki, nini kilimtokea? Je kulikuwepo na TANZIA yoyote.? Nimeweka Post yake ya mwisho hapa.
Habari wakuu,
Nmeshangaa sana watu wa kwenye basi wanajifanya madoctor, hawataki kuandika majina yanayosomeka,nauli utokako, uendako. Hasa makonda wa nyanda za juu kusini. Jirekebishe kwa hilo...
Naomba tuambizane ukweli hapa, Kutokana na shida mbalimbali za dunia binadamu hukopa na kukopeshwa!
Kimbembe huwa hutokea wakati wa kudai au kudaiwa!
Kwa jinsi mambo hayo yalivyo magumu kuna watu...
Aliingia breed tarehe 4hadi tarehe nane mwezi wa 12,alipotoka karibu kila siku tunakutana kimwili bila kinga, mzunguko wake ni siku 33,manaane ovulation ilikuwa tarehe 24mwezi uliopita, tangu...
Zamani zile wakati YESU KRISTO, Yesu aliwalisha mara kadhaa watu zaidi ya elfu tano(5,000) bila kuhesabu wanawake na watoto,.
Lakini katika zamani hizi za kina Nabiii,, mtume nk, Kinyume...
Natumai wote mu buheri wa afya pole kwa wale wanaosumbuliwa na mara Mungu awafanyie wepesi.
Tukutane madereva tuliowahi kucheza kichapo toka kwa raia na abiria.
Mimi nakumbuka ilikuwa mwaka 1993...
1.Kassim Majaliwa .
Hakika Waziri Mkuu anastahili pongezi zisizozidi kifani ni kiongozi mstaarabu mwenye weredi na mpambanaji. Amefanya na amesimamia objective na responsibilities zake ipasavyo...
Kumekuwa na utaratibu wa nchi yetu kupeleka askari nchi jirani za Congo pengine hata na Sudani kushiriki Operesheni za kulinda amani ikiwa ni dhumuni la kuitumikia nchi ndani na nje ya mipaka...
BADO UNAZUNGUSHA BAHASHA YENYE VYETI NA CV?
Pengine ni vigumu sana kutenganisha suala hili na siasa, lakini si nia yangu hapa kuzungumzia siasa! Lengo ni kukuamsha wewe uliye ndotoni kwamba siku...
Nimesafiri zaidi ya km 6,000 kwa gari mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka huu.Nimeshuhudia uwepo na umakini wa hali ya juu askari wa usalama barabarani.
Sikuweza kuona ajali yoyote,waendeshaji...
Hawayuni wakuu! Katika kufika au kupita kwangu maeneo mbali mbali yanayotoa baadhi ya huduma kuna taarifa zao wakitoa huwa zinakatosha tamaa sana kama sio kukasirisha.
Mfano kuna baadhi ya Benki...
Hizi si habari za udaki au magazetini, muhusika ambaye 2020 ulikuwa mwaka wake wa kustaafu namfahamu kwa jina, cheo na ofisi yake. Mama huyo kiherehere na mfuasi wa CCM ambaye alinusurika na...
Tunatoa huduma ya kuvukiza na kunyunyiza sumu(Fumigation & Pest control) kwa bei ya kawaida sana kwenye maeneo ya maghala,maoffice,hotel,Majikon n,k kupambana na Wadudu watambao na warukao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.