Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa wale wenzangu wapenda supu, michemsho, kitimoto kwenye baa hata kama iko maeneo ya kieleweka jaribuni sana kuwasha tochi za simu zenu kuangalia mlicholetewa .... Jamaa wanafanya uhuni wa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
*Kurugenzi ya mawasiliano ikulu msiwaweke kwenye wakati mgumu wahariri wa Vyombo vya Habari* . Na: *Edwin Soko* *Mwandishi* *Mwanafunzi wa sheria* Nianze kwa msemo wa *kilatini* usemao"...
21 Reactions
40 Replies
5K Views
Tunaangalia mpira kombe la mapinduzi Zanzibar saa hizi saa kumi na nusu lakini wakati mpira unaendelea baadhi wakadai kuwa huo mpira ni zamani kwa sababu hakuna alama ya live.Kwa wale...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wana Jamiiforums, kwanza ya yote napenda kuwapongeza kwa kuufikia mwaka 2019, uwe wa amani na mafanikio makubwa kwetu sote. Nirudi kwenye maada moja kwa moja, Mada yangu nikuhusu tangazo...
9 Reactions
77 Replies
9K Views
Wana JF habari za leo, nimeona nizungumze hili swala kwa wote wanaonzisha nyuzi humu JF. Unapoanzisha uzi unategemea member wengine wafurahi, wajifunze na zaidi wachangie kwenye uzi wako. Shida ni...
1 Reactions
8 Replies
833 Views
Hii ni barabara kubwa kutokea eneo la Kilimani hadi hospitali kubwa ya macho, Mvumi Dodoma lakini imejaa vumbi na mashimo . viongozi hamuoni? au mnasubiri mpaka mkulu apite. Sent using Jamii...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hawa jamaa nadhani elimu yao haijawasidia chochote. Inasikitisha sana baada ya zaidi ya miaka 50 ya uhuru,ujinga bado ni tatizo.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naanza kwa kunukuu Maneno ya Yesu Kristo toka MATHAYO 10: 7-8; 7 Na katika kuenda kwenu, hubirini, mkisema, Ufalme wa mbinguni umekaribia. 8 Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye...
29 Reactions
296 Replies
34K Views
Watanzani ni wagumu sana wa kurejesha mkopo wa fedha ambao ulikopesha na ndugu , rafiki au taasisi za fedha. Hela ukishaipata unaona uvivu na ugumu mkubwa w kurudisha pesa ya watu. Moyo unakuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Moto wa Gesi Waua Mama na Watoto wake Wawili Mwanamke mmoja aliyetambuliwa jina la Pendo Adolph Manyama (29) na watoto wake wawili, wakazi wa Kola katika Manispaa ya Morogoro, wamefariki dunia...
4 Reactions
89 Replies
12K Views
Agizo la Rais Dr. John Pombe Magufuli, kuwa wafanya biashara wadogo (machinga) wapewe vitambulisho vya biashara linaendelea kutekelezwa, wilayani Simanjiro mkoani Manyara. Kaimu mkuu wa Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za majukumu wadau. Niwaulize, Ni ipi njia rahisi ya kutuma fedha kutoka South Africa kuja Tanzania? Imenilazimu kuuliza hivi kwa sababu kulingana na shughuli nizifanyazo inanilazimu...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Jamani mwenye taarifa kamili anijuze hv huu ukataji wa umeme karibia mara 3 mpaka mara 4 kumesababisha na nn? maeneo kama kimara umeme una katikakatika tu yaani mpaka hapa naongea umeme umekatika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau, poleni sana na majukumu ya hapa na pale Ninaomba msaada wa Sheria, kuhusu hizi Kampuni cha usafi jijini Dar. Nimepanga sehemu katika eneo la Karikoo, takriban mwaka,Takataka zote zilikuwa...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Wadau habarini za weekend, wenye kujua naomba wanipatie elimu, CRDB Bank kuna account inaitwa FAHARI ACCOUNT, katika kuipromote wanasema haina makato kwa mwezi. Nilimfungulia mdogo wangu mwezi...
1 Reactions
1 Replies
8K Views
Habari wakuu. nimekuwa nikiandika makala nyingi zinazohusu uzito wa mwili. Nasukumwa sana kufanya hivi sababu huu umekuwa ukisababisha matatizo mengi sana. unene huongeza hatari ya kusukari...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari wakuu naomba kujua gharama za kukata bima ya afya na nhif nahitaji kujua gharama zake na me niko Katie bima
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeletewa barua pepe hii kutoka kwa Mwana Mama wa Kitanzania ambaye alipendana na mwanaume raia wa Burundi na hatimaye wakaoana. Baadaye mume wake akafukuzwa nchini. Sijui kama alikuwa na makosa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watanzania wote wapenda amani tukatae tukemee na tupinge haya yanayoendelea ya kutekana kuuwana na kupangiana michongo ovu Tanzania salama inawezekana
0 Reactions
2 Replies
568 Views
Nianze na msemo usemao 'ganda la mua wa Jana, chungu kaona kivuno' Naamini wapo wengi ambao walimpinga mzee wa awamu ya IV na wakaja kumkumbuka ktk awamu hii wakiwa wamesahau yale waliokua...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom