Nilikuwa nimelala nikawa naota yafuatayo

Nilikuwa nimelala nikawa naota yafuatayo

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
1,199
Reaction score
1,349
Nilikuwa naangalia mpira sebuleni kwangu (man city vs notherham utd ) kombe la FA huko uingereza.

Katika kuangalia angalia nikawa nimepitiwa na usingizi.

Katika kusinzia nikajikuta naota kuwa mkuu kafanya mabadiliko (teuzi) kwa baadhi ya viongozi kwenye safu zake za uongozi hasa mikoani.


Ambapo, katika mkoa mmoja wa nyanda za kati eti kumefanyika mabadiliko ya kumhamisha katibu tawala wa mkoa na kumuhamishia wizarani kuwa katibu wa wizara Fulani..

Ktk kuendelea kuota, ndoto inakawa inaonesha kuwa kwenye kuelekea uchaguzi ujao ni lazima kuwa na watu strategic ili kupata ushindi wa kishindo. Sasa huyo katibu tawala inaonekana anakwamisha jitihada za chama kuelekea kwenye ushindi.

Ndoto nyingine nikikumbuka nilichoota kuhusu mabadiliko ntakuja kuwaambia.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom