Wahitimu wengi wa UDSM mna dharau na kujisikia sana lakini mna Maisha magumu

Mallia

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
322
1,000
Hii imetokea this week kuna Rafiki yangu mmoja nlisoma nae jangwani girls 2007 mimi sikufanikiwa kuendelea na Advance mean nilifeli f~4 yeye akaendelea hadi chuo, UDSM

mimi baada ya kumaliza Olevel nikaenda kusomea course fupi fupi tofauti za mashine Opreratots, pale Bandari college nkasomea,
~ Fork lift operator (3 tone~10tone)
~ Reachstracker operator
~SSG(Ship to shore Gantry Crane)Operator

Then baada ya hapo kuna ndugu yangu akaniconect na chuo kimoja kipo South Africa nkaenda kusomea Crane operator, then baada ya hapo nkala shavu kampuni moja ya wazungu hapa tz kama crane operator.

Sasa huyu shoga yangu last week akanikuta site moja hivi nlikuwa nashusha heavy equipments, yeye alikuja kama mkaguzi na ameajiriwa Goverment, baada ya kuniona akacheka kinafki alafu kilichoniskitisha ni pale aliponiambia kuwa shoga yangu laiti ungesoma usingekuwa unateseka na michuma mda huu.

Ikanibidi nicheke kwanza nikajiuliza huyu mtu amepata wapi huo ujasiri maana yeye ana bachelor na mimi nna vyeti vya kawaida tu, lakini hata mshahara wangu sijui kama ananipita maana mimi naendesha na kuoperate Crane ya 90tons (90,000kg)
2004LTM1400-1.jpg

Na basic salary yangu ya kuoperate hii crane ni 2.8 million/month hapo bado overtime na nyongeza nyingine lazima niondoke na 3.0m hadi 3.5m kwa mwezi na nna mkataba wa kudumu kabisa.

Sasa huyu shogaangu sijui analipwa sh ngapi hadi kunizarau vile... Tu imagine analipwa

1.5million/month.. Toa HELSB+PAYE+NSSF+NHIF =take home 800,000
then ananinizarau mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,362
2,000
Hii imetokea this week kuna shoga yangu mmoja nlisoma nae jangwani girls 2007 mimi sikufanikiwa kuendelea na Advanve mean nilifeli f~4 yeye akaendelea hadi chuo, UDSM

mimi baada ya kumaliza Olevel nikaenda kusomea course fupi fupi tofauti za mashine Opreratots, pale Bandari college nkasomea, Fork lift operator,Richstracker operator, na SSG Operator then baada ya hapo kuna ndugu yangu akaniconect na chuo kimoja kipo South Africa nkaenda kusomea Crane operator, then baada ya hapo nkala shavu kampuni moja ya wazungu hapa tz kama crane operator

Sasa huyu shoga yangu last week akanikuta site moja hivi nlikuwa nashusha heavy equipments, yeye alikuja kama mkaguzi yeye ameajiriwa Goverment, baada ya kuniona akacheka kinafki alafu kilichoniskitisha ni pale aliponiambia kuwa shoga yangu laiti ungesoma usingekuwa unateseka na michuma mda huu

Ikanibidi nicheke kwanza nikajiuliza huyu mtu amepata wapi huo ujasiri maana yeye ana bachelor na mimi nna vyeti vya kawaida tu, lakini hata mshahara wangu sijui kama ananipita maana mimi naoperate Crane ya 90tons (90,000kg)
View attachment 846107

Na basic salary yangu ya kuoperate hii crane ni 2.8 million/month hapo bado overtime na nyongeza nyingine lazima niondoke na 3.0m hadi 3.5m kwa mwezi na nna mkataba wa kudumu kabisa

Sasa huyu shogaangu sijui analipwa sh ngapi hadi kunizarau vile

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umo kabisa mwenyewe kwenye hilo likitu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mr chakubanga

Senior Member
Oct 16, 2017
121
250

watu wengi pia mna inferiority complex ndo shida inapoanzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
butron

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
1,467
2,000
Belezee belezee baelewe Dada,mana bamezidi kumajigambo wakati hakuna mafaranga kumfuko.
Kuna jamaa nilikua nae ofisi Fulani ya Business Consultancy amesomea UDSM na Mimi CBE sasa majigambo jamani kha!kuandika ripoti hawezi na kiingereza cha kuandika shida.Jamani hii elimu yetu ya kujivunia vyeti badala ya ujuzi itaua taifa.
 
Mallia

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
322
1,000
Mtu kusoma udsm to nongwa!!,,angesoma kwazulu natal si angeitisha press conference kabisa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ifike maali msiwe mnaleta zarau na vibachelor vyenu mbele ya watu msiowafaham au kuwachunguza vizuri mishe zao, mtakuja kuaibika, umeajiriwa serkalni na bachelor yako unalipwa 1.5 million, PAYE+NSSF+HELSB+NHIF... TAKE HOME UNABAKIA NA 800K laki nane tu alafu unajiita msomi then unamcheka usiyemjua lool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom