Ukija Mtwara uje na adabu zote

Ukija Mtwara uje na adabu zote

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,684
Mikoa ya kusini ilifanywa masikini makusudi na chama kikongwe kwa sababu zao binafsi.
Miongo mingi wameishi gizani na bila usafiri.
Hawakuwa na lami wala usafiri wa uhakika.
Kipindi cha utafiti na ugunduzi wa gesi, walionya kuwa gesi haitoki, wenye nguvu zao wakasema itatoka.
Bibi yangu wa Msimbati alivunja drilling bit za kutosha, wazungu wakaenda kuomba watambikie mizimu ya Kimakonde ili waweze kuchimba.
Wananchi wakasema gesi haitoki, tukaletewa jeshi, tukapigwa na wengine kufa.
Kwa kipigo tukasema haya chukueni gesi yoteeeeee.
Wakaleta mabomba na kuanza kunyonya gesi, lakini wananchi tukasema gesi haitoki kimoyomoyo kwa kuogopa kipigo.
Leo miradi ya gesi iko wapi? Uko wapi umeme wa tambo na mbwembwe nyingi wa gesi ya Mtwara?
Imekuja ishu ya korosho, mmepeleka jeshi na majeshi, lakini bado mmeshindwa.
Mkija Mtwara mje na adabu sio mnatufuata na migambo yenu
 
Bujibuji nilikuzoea na ile avatar yako ya long... Why umebadili ile...
 
Sera za nyere sometimes zilikuwa za hovyo, eti hakujenga mbinu kusini kwa kuogoba makaburu wataingia kupitia msumbiji
 
Mikoa ya kusini ilifanywa masikini makusudi na chama kikongwe kwa sababu zao binafsi.
Miongo mingi wameishi gizani na bila usafiri.
Hawakuwa na lami wala usafiri wa uhakika.
Kipindi cha utafiti na ugunduzi wa gesi, walionya kuwa gesi haitoki, wenye nguvu zao wakasema itatoka.
Bibi yangu wa Msimbati alivunja drilling bit za kutosha, wazungu wakaenda kuomba watambikie mizimu ya Kimakonde ili waweze kuchimba.
Wananchi wakasema gesi haitoki, tukaletewa jeshi, tukapigwa na wengine kufa.
Kwa kipigo tukasema haya chukueni gesi yoteeeeee.
Wakaleta mabomba na kuanza kunyonya gesi, lakini wananchi tukasema gesi haitoki kimoyomoyo kwa kuogopa kipigo.
Leo miradi ya gesi iko wapi? Uko wapi umeme wa tambo na mbwembwe nyingi wa gesi ya Mtwara?
Imekuja ishu ya korosho, mmepeleka jeshi na majeshi, lakini bado mmeshindwa.
Mkija Mtwara mje na adabu sio mnatufuata na migambo yenu
Ntwala kuchele baba!!!!!!!!
 
Baah! kwani ntwara siku hizi imekuwa ya maonyeshooo
 
Nenda Kinyerezi utaiona kesi pale inavyofua umeme. Tatizo lako upo machakani sijui wapi unapiga kelele tu!
 
Anayapuka munu ,Huku ntwala usije kizembe somo
 
Back
Top Bottom