Random
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 791
- 740
Salaam Tz
Tunaenda kufunga mwaka lkn pia kuuanza mwaka mpya, miongon mwa vitu tunavyopaswa kutafakari ni afya pia kama ilivyo uchumi binafsi na mambo mengine, kama uko salama 'heri yako' na kama umeshauvaa 'pole yako' ila usikate tamaa na maisha ni maradh kama maradh mengine i.e BP, diabetes etc
Kumbuka, Wanaume tupo wachache Duniani na chance ya kuzaa mtoto wa kiume ni ndogo sana (kibiologia), usihatarishe maisha yako na kukata cheni ya kizazi chako (kumbuka ukoo unaendelezwa na mwanaume)
Takwimu za UKIMWI zinaendelea kukua kila siku huusan Tz lkn tahadhari ya wanaojihusisha na mapenzi ipo in 'a costant trend' na baadhi ya maeneo inashuka gradualy
Zipo sababu nyingi za kupata UKIMWI lkn kubwa 3 ni hizi zifuatazo hususan kwa mazingira ya TZ ambapo mwanaume anajisifia/anaona fahar kuwa na madem wengi bila wao kujijua;
1. Kulamba/Kunyonya papuchi kwa kigezo kuwa unamuamini, ni demu mkali msafi, umdatishe akukubali n.k, hukatazwi kufanya hivyo ila fikiria hatima ya maisha yako kama utaathirika kabla hujaanza kulamba/nyonya, alaf pima mwenyewe uendelee au uache, awali njia hii ilikuwa haiskiki lkn baada ya kuongezeka kwa watu wenye upunguf wa nguv za kiume limezidi kushamiri kwa kuwa hawataki kuruka step ktk tendo hivyo basi ikifika ule muda wa kuzamisha dudu demu awe tayar ameshakuapreciate/ameloana kwa extent flan, ikifika wakat wa kuzamisha inakua ni kufinalize kwa kuwa mwanaume huyo hawawez kumudu mbio ndefu, demu hawez kushtukia kama jamaa ni mlemavu wa nguv za kiume kwa kuwa ameridhishwa, its good kwa kuwa mapenzi ni ufundi but its too risky
2. Condom znavaliwa siku za mwanzo, mkishazoeana znatupwa, hapo ndio chance ya kupata maambukiz inaongezeka, wengi wanasema zinapunguza ladha, joto n.k, ijali afya yako daima jilinde wew mwenyewe, usijiingize kweny maisha ya matumaini kwa uzembe
3. Kunyonya denda, utaskia mtu anasema sijamgonga lkn nimempiga mate yakutosha hawezi nisahau ananipa mzigo, hayo mate mzee baba kama anao umekwenda na maji, kama unakiu kunywa maji acha mate
Nb: Muhimu ni kutulia na mke wako, kuwa mwaminifu, chunga tamaa mbaya utakuja kuitesa familia yako kuanzia wazazi, ndg mpaka wanao.
Wanawake ni kinyume chake
Heri ya sikuku!!!
C.c Granta mpiga deki