Tubadilishe jina la pesa yetu

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,120
Habari wakubwa wenzangu
Kama kichwa Cha habari hapo juu ,nachukua nafasi hi kuwaambia wanajukwa na kushiriakiana kupata jina jina la pesa yetu

SHILLING
Awali hi jina lilitwa na waingereza kwa makoloni yake ya Africa mashariki yaani Kenya ,Uganda na Tanzania hata hivyo baada ya Uhuru makoloni haya yameshindwa kabisaa kubadilisha jina la pesa zao

CHA KUFANYA
Sisi watanzania kuendelea kuiita senti Mia moja Ni shilling moja Ni sawa kuendelea kumtukuza mzungu,tujivue ujinga huu na tuishinikiza serikali na benki kuu kuwa zama zimebadilika tunahitaji jina lingine pesa yetu lenye asili na sisi wabantu na si hii shillings tunayoiita leo

Kuendelea kutumia jina shilling Ni utumwa Tena utumwa usiojificha
NAOMBA KUWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namvumi hebu fikiria njia mpya ya kuongeza thamani ya madini na taaluma yako hayo ya jina hayana maana.

Ungezumzia sensa inamaana kwasababu tanataka kujua tunawatu wangapi na tutawafikishia vipi maendeleo,hayo uliyoleta yatayusaidiaje kuondoa umasikini kwa umma wa watanzania?

Jamii forum server haijajaa so hata wew unaweza andika mie Sina haja ya kuandika hayo kwa sasa nimeandika hili Kama huna Cha kuchangangia pita tu Kama unapita ikulu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are negro,I am not negro,I am not living in a ghetto as you persist to me,find you mother's fool to be fooled,
This thing has something to do with ma life,I am not insisting to you to realize what's inside of this,if you nothing constructive you better shut you mouth

Sent using Jamii Forums mobile app
you need to do some editing with your glammar chicken. If not, then probably you need some in your skull.

kukusaidia tu, haya ndio mavitunguu gani eti

'as you persist to me'...

'Iam not insisting to you to'

'Inside of this'

'If you nothing constructive'

--Kwa maana ya ulivyonijibu pasi na shaka hukunielewa sababu ya lugha..lakini pia haikuwepo haja ya kunijibu kwa lugha ambayo hukuielewa..zaidi hapa umenionyesha sio tu vitunguu swaumu bali pia umejaza dagaa na viazi mviringo kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha hahahaha you want to give me a lecture about English, don't change the topic
Naona wale wazungu wa Twitter wamehamia kwenye huu uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
you need to do some editing with your glammar chicken. If not, then probably you need some in your skull.

kukusaidia tu, haya ndio mavitunguu gani eti

'as you persist to me'...

'Iam not insisting to you to'

'Inside of this'

'If you nothing constructive'

--Kwa maana ya ulivyonijibu pasi na shaka hukunielewa sababu ya lugha..lakini pia haikuwepo haja ya kunijibu kwa lugha ambayo hukuielewa..zaidi hapa umenionyesha sio tu vitunguu swaumu bali pia umejaza dagaa na viazi mviringo kichwani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaandika vitunguu swaumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom