Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,588
- 12,358
Poleni na majukumu wapendwa
Tukiendelea kulisukuma gurudumua la Taifa mbele hebu tega macho yako uambatane nami tuangalie dhana nzima ya marehemu kusepa na mali zake
Natumai mtakuwa ni mashahidi wa kweli tumeona kwa miaka mingi mtu ana pesa za kutosha assets za kutosha ila akifa ndiyo basi tena wasimamizi wanajitahidi kusimamia ila wanafeli matokeo yake inabaki historia tu kwa fulani walikuwa na pesa utakuta engine za land rover 109 imebaki kama kumbukumbu tu
Jiulize kwa nini wahindi-waarabu wamekuwa wakirithisha utajiri wao kizazi na kizazi hii tofauti na sisi ngozi nyeusi
Sababu ni hizi baba ana pesa ila haijulikani anazipataje, hashirikishi watoto wake namna anavyoendesha miradi yake ana mikopo wapi hasemi na ikumbukwe pesa ukiipata kiharamu itabidi uilinde kiharamu hivyo hivyo ukiipata kihalali utailinda kihalali hivyo hivyo sasa wengi wetu hapa ndiyo tunarudi nyuma kuna mwingine kapata pesa kwa kutoa kafara kuua nk sasa hapa ukija kufa warithi wako hata hawajui baba alikuwa na washirika wapi katika miradi yake matokeo yake wanaingiza mfumo mpya wa uendeshaji la haula mambo yanaenda mrama wahindi-waarabu muda mwingi wako Bega kwa Bega na watoto wao wanawafundisha biashara wangali wadogo mtoto anakuwa anajua kila kitu hata kama ni makafara matambiko njoo sasa kwa kina Masanja kimario ni ubinafsi mwanzo mwisho
Pesa haiendi hata kizazi cha wajukuu imeisha inabaki zilipendwa hebu tubadilikeni