Trekta za siku hizi zimekaa kizembezembe sana

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuqa wanaJF!

Hadhi ya Trekta kila muda unavyozidi kwenda inashuka. Yani hizi trekata za kisasa zimekaa kizembezembe na kimayaimayai.
new-holland-t4s-setting-new-standards-01.jpg
800px_COLOURBOX1965565.jpg

Trekta haitakiwi iwe kianasaanasa. Unakuta trekta ina AC na redio. Kulima siyo anasa na siyo starehe kabisa. Unamwekea mmatumbi redio na AC kwenye trekta atalima vizuri kweli apate high yields?
Modern-tractor.jpg

Ninampango wa kujikita kwenye kilimo seriously na nimeahidiwa Trekta mbili. Sitaendekeza kabisa starehe na anasa kwenye kilimo yani nimuachie mfanyakazi aendeshe huku anakula vyoyoyoz huko sio kulima. Kama nitapata za kimayaimayai kama za hapo juu nanyofoa hizo AC na redio. Trekta bana ni kama hizo hapo chini.
images (1).jpeg
MF_375E_(Millat)-2002.jpg

Wanaotengeneza hizi trekta za kisasa wanakosea sana. Na huko miaka ya mbeleni tutakuwa na upuuz kama huu hapa chini.

1000x-1.jpg

Cc Mbulu
 
Huo ni ushamba, yaani unaona ni jambo jema dereva/operator aungue jua?

Au kunyonga umezoea sasa kuchinja ni tabu kwako? Au umezoea shida?
 
Mzuqa wanaJF!

Hadhi ya Trekta kila muda unavyozidi kwenda inashuka. Yani hizi trekata za kisasa zimekaa kizembezembe na kimayaimayai.View attachment 989516View attachment 989517

Trekta haitakiwi iwe kianasaanasa. Unakuta trekta ina AC na redio. Kulima siyo anasa na siyo starehe kabisa. Unamwekea mmatumbi redio na AC kwenye trekta atalima vizuri kweli apate high yields?
View attachment 989518

Ninampango wa kujikita kwenye kilimo seriously na nimeahidiwa Trekta mbili. Sitaendekeza kabisa starehe na anasa kwenye kilimo yani nimuachie mfanyakazi aendeshe huku anakula vyoyoyoz huko sio kulima. Kama nitapata za kimayaimayai kama za hapo juu nanyofoa hizo AC na redio. Trekta bana ni kama hizo hapo chini.
View attachment 989519View attachment 989520
Wanaotengeneza hizi trekta za kisasa wanakosea sana. Na huko miaka ya mbeleni tutakuwa na upuuz kama huu hapa chini.

View attachment 989522

Cc Mbulu
kulima sio sulubu, ni kazi kama kazi zingine za ofisini! kama ofisini kwako kuna ac kwa nini tractor ofisi isiwe nacho! tena waweke na lcd kabisaa!
 
Mimi huwa najiuliza ni kwanini wabongo tunapenda Kuienzi SHIDA? Tunapenda kuamini kwamba utajiri au unafuu kwenye maisha ni anasa, maisha yanabadilika kila kitu kinarahisishwa ni wakati wa kuwashukuru wana sayansi kwa vumbuzi zao zinazofanya kazi ya ukulima iwe nafuu kidogo.Kwa miaka hii ya sayansi na teknolojia hauhijitaji kuteseka ndio ujue kwamba umefanya kazi , na kipimo cha kazi hakihesabiwi kwa makovu mangapi umepata bali energy iliyotumika na Outcome yake na hapo wanabase kwenye nguvu kdg Big outcome.
Kuna siku nilikuwa natafakari maisha tuliyoishi zamani wakati tunakuwa nikakumbuka shule tulivyokuwa tunafyeka majani kwa kutumia kwanja na jioni tunakanda malengelenge , siku hz kuna mashine unaweka diesel tu na mtu mmoja unaweza kufyeka hekari 2 kwa siku kulinganisha na kipindi kile darasa zima lilihusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzuqa wanaJF!

Hadhi ya Trekta kila muda unavyozidi kwenda inashuka. Yani hizi trekata za kisasa zimekaa kizembezembe na kimayaimayai.View attachment 989516View attachment 989517

Trekta haitakiwi iwe kianasaanasa. Unakuta trekta ina AC na redio. Kulima siyo anasa na siyo starehe kabisa. Unamwekea mmatumbi redio na AC kwenye trekta atalima vizuri kweli apate high yields?
View attachment 989518

Ninampango wa kujikita kwenye kilimo seriously na nimeahidiwa Trekta mbili. Sitaendekeza kabisa starehe na anasa kwenye kilimo yani nimuachie mfanyakazi aendeshe huku anakula vyoyoyoz huko sio kulima. Kama nitapata za kimayaimayai kama za hapo juu nanyofoa hizo AC na redio. Trekta bana ni kama hizo hapo chini.
View attachment 989519View attachment 989520
Wanaotengeneza hizi trekta za kisasa wanakosea sana. Na huko miaka ya mbeleni tutakuwa na upuuz kama huu hapa chini.

View attachment 989522

Cc Mbulu
Ile Ford ilikuwa na kiti cha chuma, hatari!
 
Hilo La Chini Kabisa Linajiendesha Lenyewe Bila Dereva.
 
Back
Top Bottom