Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nakumbuka walibafuliwa hawa sababu ya madongo kwenye imani za watu sasa nimepita huko Instagram naona hawajakoma tu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Alianza na matumaini, sasa kwisha! Kunani? Ujenzi holela umeshika kasi, kurasimisha makazi project shelved?????? migogoro ya ardhi ndio imepamba moto!
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu, Haya nimeyaona kwa macho yangu pale airport. Ndege yetu Aina ya Dreamliner inaoshwa kwa dekio la sakafuni kwa kweli limenitia aibu sana. Sijui kama Rais wetu analijua hilo. Sijui kama ndio...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za hivi punde; abiria takribani zaidi elf 4,wapo ndani ya maji karibia kwa saa moja sasa, Engine inayofanya kazi ni moja tu, Kivuko kibovu pia inadaiwa kivuko kimebeba watu idadi kubwa zaidi .
3 Reactions
111 Replies
15K Views
Source mwananchi Biharamulo. Simulizi ya mkazi wa kijiji cha Nyambale wilayani Biharamulo, Bilatwa Mabuga aliyedai ng’ombe wake 20 kukamatwa na polisi tangu 2017 wakati akiwapeleka kwenye mnada...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
habari wadau ninahitaji pikpik aina hii ya Honda, ikiwa kuna mahali umeziona zinauzwa, tafadhali naomba nijuze. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Heri ya mwaka mpya wakuu, Huwa yanishangaz sana watu kuweka vyakula status ambavyo wamekula muda huo. Unakuta mtu kaenda kwenye harusi au sherehe yoyote anawecha chakula kwenye status. Kibaya...
6 Reactions
52 Replies
8K Views
Puerto Rico inayumba nadhani inaelekea ukingoni korongoni mihimili yake inatikiswa na inatikisana Puerto Rico mahali anapoishi memba mwenzetu gentamycine inakwenda mrama Puerto Rico is no...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Hii sio kitu kizuri cha baadhi ya watu kuhujumu mvua kunyesha na kusababisha mazao kuharibika. Hali ikiendelea hivi uchumi wetu unaweza dorora. Tunaomba serikali yetu iingilie kati suala hili...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jumatano hii na kuendelea saa nane usiku mtaelewa dunia imearibika Kawe, na ulinzi wanapewa
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Mkuu wa mkoa wa Tabora ndugu Agrey Mwanri hivi karibuni amenukuliwa katika video clips mbalimbali akionekana kumkoromea anayemuita "Injiania" kwa kumshurutisha asome vipimo kwenye "tape measure"...
22 Reactions
97 Replies
16K Views
Habarini, binafsi nimekuwa na utaratibu wa kusaidia wenye mahitaji kwa kutoa kwa wahitaji (wajane, yatima, NGO's zenye huduma ya kutunza watoto yatima nk) kile ambacho Mungu hunibariki (10%)...
9 Reactions
64 Replies
5K Views
Ndoto yangu kubwa ilikuwa kusoma sheria na kuwa wakili, niliyamudu vyema masomo ya sanaa hasa Kingereza na Geography na History ila naandika hapa nikiwa mwalimu wa somo la kemia na biologia tena...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wanajamvi naomba mnijuze jinsi gani ya kumpata yule mwewe wa clouds Tv, manake sisi wakazi wa huku kirumba mwanza tumechoshwa na mgao wa umeme na barabara zimeoza
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kila siku nasikia matangazo kwamba kutakuwa na maombezi sehemu fulani yatakayoongozwa na mtumishi fulani.mimi binafsi katika Imani yangu naona HaKuna kitu hapo maajabu ya kuponya watu yalikuwa na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Mimi Mjina Mrefu sijawahi kwenda kwa mganga yeyote wa kienyeji na ninamuomba Mungu anisaidie nisikae kwenda niende kwa mganga wa kienyeji kwa ajili ya ramli... Nilivyopata experience kwa...
4 Reactions
50 Replies
8K Views
Nilipoona Rais ænagawa Vitambulisho vya wachinga.....naona limekuwa agizo kwa kila RC . Imetangazwa kila mfanya biashara mwenye mtaji chini ya mil 4 had muuza nyanya pembezoni mwa barabara awe...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jaman jaman jaman, Hii kitu isikie tu kwa jirani, ukibanwa tumbo kuhara huku unasafiri safari ndefu ni balaa, nakumbuka natoka mbeya naenda dar, asee ile tunakatuza makambako ugeni huu.. kila...
11 Reactions
81 Replies
11K Views
napenda kutoa tahadhari kipindi cha january ( UTABIRI WA HALI YA HEWA) 1. nyakati za jioni na usiku kutakuwa na ukimya sana katika majumba mengi kama vile wametoka kuzika. hakutakuwa na shamra...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kilosa, Morogoro: Mwanamke mmoja na Mtoto wake wamefariki dunia baada ya kukanyaga waya wa umeme ulikuwa umeanguka chini baada ya kukatika kutoka katika nguzo Waya huo ulikatika kutokana na mfua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…