Mh. Waziri Lukuvi yuko wapi?

Mh. Waziri Lukuvi yuko wapi?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,021
Reaction score
104,484
Alianza na matumaini, sasa kwisha! Kunani? Ujenzi holela umeshika kasi, kurasimisha makazi project shelved?????? migogoro ya ardhi ndio imepamba moto!
 
The minister I love most in respect of ministerial post and working in the current cabinet is the said W.V. Lukuvi

He could possibly not yield/reap his target b'se of "lack of ministerial instrument". H.E. W.V. Lukuvi is my fee tail of leadership.
 
Balozi wa kanada alikua katibu mkuu wake. Kuanzia leo kesi za rushwa ni uhujumu uchumi yaani hazina dhamana. Sasa wewe endelea .........kukaanga mbuyu
 
Halafu akianza kufanya ziara za mara kwa mara mtasema anatafuta attention!
Mnafiki ni mnafiki tu.
 
Nadhani idara ya ardhi Mbeya ndio wanaongoza kwa rushwa na upuuzi katika kazi, wameivuruga sana Mbeya. Mi naomba Lukuvi awatembelee naona wanakula bila kunawa pumbavu sana
 
Nadhani idara ya ardhi Mbeya ndio wanaongoza kwa rushwa na upuuzi katika kazi, wameivuruga sana Mbeya. Mi naomba Lukuvi awatembelee naona wanakula bila kunawa pumbavu sana
Mkuu njoo hapa ofisini tuwawekee mtego. siku hizi rushwa ni uhujumi uchumi NO DHAMANA
 
Mkuu njoo hapa ofisini tuwawekee mtego. siku hizi rushwa ni uhujumi uchumi NO DHAMANA
Naomba kifungu ambacho kinasema uhujumu uchumi hauna dhamana. Nimesikia sana hilo, nisaidie
 
Naomba kifungu ambacho kinasema uhujumu uchumi hauna dhamana. Nimesikia sana hilo, nisaidie
Retired. Wewe ushajizehekea na kustaafu rushwa utapewa na nani ? Anyway nakutumia kwa manufaa ya wajukuu wako.
 
Retired hii hapa
 

Attachments

  • IMG-20181111-WA0026.jpg
    IMG-20181111-WA0026.jpg
    63.4 KB · Views: 29
Retired. Wewe ushajizehekea na kustaafu rushwa utapewa na nani ? Anyway nakutumia kwa manufaa ya wajukuu wako.
Sasa wewe unaleta kejeli, ungejua kuwa siko kama unavyinifikiria na labda nakuzidi in several aspects of law ungeliniheshimu kidogo.
 
Kiwango cha ujenzi wa Mtu mmoja mmoja kimeshuka , wauza vifaa vya ujenzi wamechoka !
 
Alianza na matumaini, sasa kwisha! Kunani? Ujenzi holela umeshika kasi, kurasimisha makazi project shelved?????? migogoro ya ardhi ndio imepamba moto!
Jana tu alikuwa na makamo wa rais sijui wilaya gani na akatatua mgogogoro wa ardhi kati wafugaji na wakulima
 
Back
Top Bottom