KILOSA, MOROGORO: Mama na Mtoto wafariki baada ya kukanyaga waya wa umeme

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Kilosa, Morogoro: Mwanamke mmoja na Mtoto wake wamefariki dunia baada ya kukanyaga waya wa umeme ulikuwa umeanguka chini baada ya kukatika kutoka katika nguzo

Waya huo ulikatika kutokana na mfua kubwa zilizokuwa zikinyesha.

Tukio hili la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la Kata ya Kikwalaza
 
walazwe pema panapowastahili. kazi ya Mungu daima haina makosa. kuna kuzaliwa kuna kufariki; ji ala Mungu lihimidiwe!
 
Back
Top Bottom