schlumberger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 890
- 350
Wakuu,
Haya nimeyaona kwa macho yangu pale airport.
Ndege yetu Aina ya Dreamliner inaoshwa kwa dekio la sakafuni kwa kweli limenitia aibu sana. Sijui kama Rais wetu analijua hilo. Sijui kama ndio utaratibu wa uoshaji wa ndege, sijui!. Hebu fikiria usalama (safety) wa muoshaji wakati anaosha kwa dekio na kitambaa (tambara). Sijui kama ndiyo viwango vyetu - kivyetu vyetu!.
Hivi Kuna ubaya wa kuwa na pressure washer na kuitumia?? Au hairuhusiwi?? au ni Gharama kununua??. Hivi hakuna system nyingine ya uoshaji??
Basi kama hakuna namna nyingine Basi kuwe na uzio ili wasafiri wanaotoka nchi nyingine wasione uoshaji wa aina hiyo. Binafsi naona aibu! Picha ninazo za tukio hilo!
Tuchangia kuboresha ndege zetu zidumu…...