Taharuki; Pantoni kubwa kigamboni hatarini

Taharuki; Pantoni kubwa kigamboni hatarini

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,256
Reaction score
23,357
Habari za hivi punde;
abiria takribani zaidi elf 4,wapo ndani ya maji karibia kwa saa moja sasa, Engine inayofanya kazi ni moja tu, Kivuko kibovu pia inadaiwa kivuko kimebeba watu idadi kubwa zaidi .
 
Hicho kivuko uwezo wake ni kubeba abiria wangapi? Maana ukisema watu elfu 4 najiuliza umepata wapi idadi hiyo.
uwezo wake nikubeba abiria elf 2000 waliokaa, lakini kwa Leo wamesimama juu na chini wamebanana
 
Back
Top Bottom