Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,554
- 4,171
Nilipoona Rais ænagawa Vitambulisho vya wachinga.....naona limekuwa agizo kwa kila RC .
Imetangazwa kila mfanya biashara mwenye mtaji chini ya mil 4 had muuza nyanya pembezoni mwa barabara awe nacho.
Usipochukua utalipia elf 9 kila mwezi .
Tangu kutoka kwa tangazo hilo naona walokuwa na mitaji ya elf 5 wanafunga chanja zaō