Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

habari mliobarikiwa upendo, amani, umoja licha ya kuwa na vyama tofauti na utu ambao kwa jina la ujumla tunaitwa watanzania leo nakuja na kichwa kama kilivyoandikwa hapo juu kwa maisha yalivyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu. nimekuwa nikiandika makala nyingi zinazohusu uzito wa mwili. Nasukumwa sana kufanya hivi sababu huu umekuwa ukisababisha matatizo mengi sana. unene huongeza hatari ya kusukari...
2 Reactions
87 Replies
10K Views
Nilisikiliza hotuba ya Magufuli akieleza juu ya mchoro wa suala la dhahabu na fedha vilivyokamatwa nikashindwa kuelewa kama mgongano wa maelezo uliopo. Siro anamwambia Magufuli hawa jamaa...
10 Reactions
68 Replies
8K Views
Leo mchana mapokezi ya ndege ya airbus yataoongozwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Tanzania katika uwanja wa Julius Nyerere International Airport - Dar es Salaam. Tunakuomba Mhe. Rais ndege nyingine...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanyonge wananyongwa kwelikweli
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Mara nyingi nimekuwa nikimfatilia anachokiandika sana sana kwenye ukurasa wa FB wa Andrew Nyerere Nimeona watu hawampi like au kumpa comment, pia amekuwa akiandika article nyingi sana kwa siku...
4 Reactions
31 Replies
9K Views
Mara zote huwa natumiaga daraja la Nyerere, ila leo nikasema nijaribu kuvuka kwa kutumia kivuko, najuta, ninachokiona hapa ni maajabu kabisa, sikutegemea, yaan 2hrs hata geti la kivuko...
5 Reactions
143 Replies
18K Views
Naanza kwa kumshukuru Mungu kwa kutupa uzima na afya njema mpka wakati huu. Pili napenda kutoa salam zangu zikufikie wewe unaesoma thread hii popote pale ulipo na mungu akubariki sana. Mimi ni...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
habarini wana jamvi, mimi ni kijana niliyezaliwa na kukulia kwenye misingi ya dini, nilipata bahati ya kusoma katika shule ya kidini hivyo kupata mafunzo mengi ya kidini lakini kaadiri nilivyopata...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Jana lilimunukuu CAG kwamba eti amejibu kuhusu wito wa Mh Spika ilhali si kweli! Jana baada ya kutakiwa wathibitishe wakakimbilia kuomba msamaha.Leo tena wamebadili gia angani na wamedai CAG...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari za humu wanajamvi, naamin mu wazima wa Afya, leo naomba kuwashirikisha Kuhusu unyanyasaji wa hawa ACACIA ambaye ni mshirika wa AFRICAN BARICK GOLD(ABG) ambao wanamiliki migodi ya dhahabu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wadau, natumai mu wazima wa afya na mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila kukicha. Leo nimeona magazeti mengi yakiandika kuhusu shule binafsi kutoruhusiwa kurudisha wanafunzi...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Wapendwa tusaidiane . Kuna nyaya za umeme zimekatika zimelala barabarani hapa Sinza A karibu na nice lodge zina moto na zinatoa cheche . Tumewapigia TANESCO Tangu saa kumi till now hawajaja ...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Watu watatu wanaotuhumiwa kupanga na kufanikisha kumuibia Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe begi lililojaa pesa, wamekamatwa na kuburuzwa Mahakamani. Vyombo vya habari nchini humo...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Vyuma vinapashwa moto hapa kabla ya kutua nyumbani na kuja kuwahudumia watanzania. Hongera awamu ya 5.
9 Reactions
45 Replies
7K Views
Mkazi wa Kijiji cha Wami Luhindo Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, Salma Omary, amenusurika kuuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali na mtu asiyejulikana baada ya kupokea fedha za kusaidia...
0 Reactions
1 Replies
783 Views
Ikiwa imepita zaidi ya miaka mitatu toka awamu ya tano kuingia madarakani, tumeshuhudia panga pangua ya safu za uongozi kila kukicha. Hii ilianza mapema tu baada ya awamu mpya kushika nchi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna uzi niliuanzisha kuhusu kuuliza maswali kuhusu ......(wasijefuta tena)wakaufuta na maswali yalikuwa mengi,najibu baadhi ya yale ninayokumbuka. Miongoni mwayo ni Kwa nini mnaoa wake wanne...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Nimepata taarifa kuwa Mtu mmoja amejirusha kutoka Ghorofa ya 5 pale Hospitali ya BUGANDO na kufariki hapo hapo. Tukio hilo limetokea jioni hii, lakini sababu za mtu huyo kujiua...
3 Reactions
45 Replies
11K Views
Askari kanzu kukamata wadanganyifu wa mafao: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Jenister Mhagama, amesema kuanzia sasa kwenye ofisi za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…