Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari waungwana!!!! Nilisafiri kwa mda mrefu kidogo na nimerudi nimekuta gari ina notification 3,je nawezaje kujua kiasi cha pesa nnachodaiwa kwa njia ya online bila kuonana na wale nguo nyeupe...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Watu zaidi ya 300 wanatafutwa na Polisi Kagera kwa tuhuma za uvamizi. Jeshi la polisi katika mkoa wa Kagera linawasaka watu zaidi ya 300 wa kijiji cha Kilela kilichoko wilayani Kyelwa waliokuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mahakama ya Wilaya Mkoa wa Kigoma imewahukumu wakazi watatu wa Mtaa wa Murubona Wilaya ya Kasulu kutumikia kifungo cha miaka miwili jela au faini ya sh. 200,000/= kwa kosa la kufanya biashara ya...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Wanajamvi samahani sana mimi ni mgeni hapa ninaomba kueleweshwa tu kwamba,hivi hapa nchini kwetu kuna barabara zile wanaitwa high way? Mimi naona matuta ya barabarani kila kona,naona vibao vya...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
jamani aliyewahi kuagiza mzigo kutoka ebay mzigo ukifika unaenda kuchukulia wapi, msaada wakuu maana hii ni mara yangu ya kwanza.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Simulizi Inayoelezea Na Kuangazia Aina Ya Tawala Nyingi Za KiAfrika Kwa Sasa. Imeandikwa Kwa Ustadi Mkubwa Na Wa Kumfanya Msomaji Asichoke Kuisoma. Kama Unapenda Sumulizi Iliyochanganya Maudhui...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Maelfu ya wananchi wamefurika kwenye shamba la Mwenyekiti wa kitongoji cha Bugege mzee Clement Busiga aliyeokota jiwe la madini ya dhahabu shambani kwake wakati akichimba mashimo ya kupanda...
1 Reactions
69 Replies
13K Views
Tanzania na sisi tuige jamani... Hongereni Sana majirani zetu!!
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ivi haya mambo yanatokea hapa hapa bongo ama ? Habari Ni kweli mkeka huu umeshinda,Je Premier Bet kama kampuni wamefanikiwa kukamilisha malipo ya mshindi huyo ? Mshindi huyo yupo ! Kama yote...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Dar es Salaam. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara amepiga marufuku wanafunzi wa shule binafsi ambao hawajamaliza ada kusimamishwa au...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Katika utafiti uliofanyika ndani ya jiji la Dar es salaam....kipindi cha ambacho asilimia kubwa ya kabila la Wachagga wanaopoenda kula sikuku ya Chrismass Moshi....athari zinazopatikana kipindi...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Kwa maneno yaliyo ndani ya waraka wa lissu yanaonyesha wazi nani aliepanga shambulizi lake. Huu ni mtazamo wangu wangu tu. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nipo hapa tangu asubui nimetoka jioni hii kufurahisha nafsi nimekosa sehemu nipo hapa Rock City Kuna Watu Wengi kiasi flani chake, 1/Mziki Mbaya 2/Vyakula Vyao pia vibaya 3/Hamna Hata Maua...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Habar za asubuh wadau,napenda tijuzane juu ya mambo mawili yafuatayo 1. Je kucha na na nywele ni viungo katika miili yetu? Na ka ma ni viungo kwa nini tunavikata kila baada ya muda fulani wakati...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Wadau kama heading hapo juu nataka kufanya ziara binafsi maeneo ya mafinga ni wapi sehemu murua ya kupata accomodation .na vipi bora bed and breakfast, full board au just bed ?then nikale mitaani...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
KAMA Umekula kwa mama ntilie leo kwa sababu bei yake iko chini- umekwepa kodi kupata unafuu kama umevaa nguo za mtumba umekwepa kodi umekwepa kodi kupata unafuu kama umenunua bidha yoyote kwa...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
BABA AFUMWA AKIMBAKA BINTI YAKE [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] WANANCHI wa kitongoji cha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, mkoani mwanza. Tumeoneshwa kupitia kituo cha Star TV, mizigo wa matofali ya dhahabu yenye thamani zaidi ya Tsh. Bilioni 360 yakiwa kwenye gari dogo aina ya Toyota...
7 Reactions
355 Replies
88K Views
Habari wakuu Ni miaka mingi sana imepita tokea mchakato huu ulipoanza mpaka leo hii hauna majibu wala muendelezo. Kama tuna lugha yetu iweje tushindwe na kupata vazi la taifa? Mfano taasisi ndogo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom