msaada na ushauri: nataka kuwa BUDDHA

ntundaga

Senior Member
Sep 13, 2018
140
196
habarini wana jamvi, mimi ni kijana niliyezaliwa na kukulia kwenye misingi ya dini, nilipata bahati ya kusoma katika shule ya kidini hivyo kupata mafunzo mengi ya kidini lakini kaadiri nilivyopata mafunzo zaidi ya dini yangu ndivyo nilivyozidi kupata mikanganyiko mingi na mashaka juu ya dini yangu, spendi sana kuweka wazi ni dini gani na ni mikanganyiko gani kuepusha mjadala wa kidini.

katika taharuki hii nimejikuta nasima na kuvutiwa sana na imani ya BUDDHISM, naomba maoni yenu ni vipi naweza kupata mafundisho yao zaidi,? faida na hasara za imani hii, na pia kwa Tanzania wanapatikana wapi nikihitaji mentorship,? naomba msaada wenu wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema unavutiwa na kwenda kuabudu ng'ombe, sasa kabla ya kuvutiwa mimi nilidhani ushafanya upembuzi yakinifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MANENO YA ROHO MTAKATFU.

Unapaswa kutafuta njia ya uwiano na Kristo'

Mwenyezi Mungu anasema "ninyi mnatafuta tu uwiano na Mungu asiye yakini, na kutafuta tu imani zisizo yakini ihali ninyi hulingani na Kristo. Si uovu wenu utapata adhabu kama ile wanayostahili waovu? Wakati uo huo, mtagundua Ni aina gani ya adhabu italetwa juu ya wale walio katka uadui na Kristo. Siku hyo itakapofika, ndoto yenu ya kubarikiwa kwa imani yenu katka Mungu na kupata kuingia mbinguni, yote itakatizwa, Lakini, hata hivyo si hivyo kwa wale ambao wanalingana na Kristo. Ingawa wao wamepoteza sana,ingawa wamekabiliwa na mengi ya ugumu wa maisha, watapokea urithi wote ambao nimeutoa Kwa ajili ya mwanadamu. Hatimaye,mtaelewa kwamba Mimi tu ndiye Mungu mwenye haki, na kwamba Ni Mimi tu niliye na uwezo wa kuwachukua binadamu mpaka hatima yao yenye kupendeza , mtaelewa Yale mliyoyapuuza ndiyo yalikuwa msingi wa maisha yenu, mtaelewa kwamba akili niliyowaumbia mliitumia bure katka imani za kusadikika zilizojaa uongo na Faraja bandia"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu sana Buza mkuu
Mimi naishi Yombo Buza huu ni mwaka wa 3 sasa kuna shmu zingine kama Yombo Makangarawe,Yombo Kilakala,Yombo Vituka
 
Jifunze kung fu kwanza, na kisha uanze kufanya mazoezi ya kuvaa nepi na kujitanda shuka!
 
MANENO YA ROHO MTAKATFU.

Unapaswa kutafuta njia ya uwiano na Kristo'

Mwenyezi Mungu anasema "ninyi mnatafuta tu uwiano na Mungu asiye yakini, na kutafuta tu imani zisizo yakini ihali ninyi hulingani na Kristo. Si uovu wenu utapata adhabu kama ile wanayostahili waovu? Wakati uo huo, mtagundua Ni aina gani ya adhabu italetwa juu ya wale walio katka uadui na Kristo. Siku hyo itakapofika, ndoto yenu ya kubarikiwa kwa imani yenu katka Mungu na kupata kuingia mbinguni, yote itakatizwa, Lakini, hata hivyo si hivyo kwa wale ambao wanalingana na Kristo. Ingawa wao wamepoteza sana,ingawa wamekabiliwa na mengi ya ugumu wa maisha, watapokea urithi wote ambao nimeutoa Kwa ajili ya mwanadamu. Hatimaye,mtaelewa kwamba Mimi tu ndiye Mungu mwenye haki, na kwamba Ni Mimi tu niliye na uwezo wa kuwachukua binadamu mpaka hatima yao yenye kupendeza , mtaelewa Yale mliyoyapuuza ndiyo yalikuwa msingi wa maisha yenu, mtaelewa kwamba akili niliyowaumbia mliitumia bure katka imani za kusadikika zilizojaa uongo na Faraja bandia"

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom